Mbona ndio kwaanza kunakucha, waombe sana Kante asipate majeruhi mengi msimu huu, sijui walikua wamevuta nini walivyomuuza Matic kwa Manure????
Na mshukuru mlikutana na hao wakora wa Roma, mngekutana na Napoli au wafalme wa soka la Italia, Juventus the Bianconero, mngeshamfukuza kazi Antonio...