Recent content by moudy_b6

  1. moudy_b6

    Msaada: Hali imekuwa tete, masomo yamezidi kuwa magumu

    Admission uliijza peke yako iv haukijua utakachoenda kukutana nacho??????ungetafuta prospectus ya chuo kabla hujaaply pimbi ww..komaa au rudi kwa mtaaa.
  2. moudy_b6

    Certeficate of form six leavers 2015

    Wakuu kwa aliepata taarifa kuhusiana na hii taarifa kuwa vyeti vya wanafunz wa form six waliomaliza mwaka 2015 kutopewa km baraza la mitihan lilivyo agiza kwa hofu ya GPA...hii taarifa niliona juu juu tu kwenye social media..cjaipata in detail...kwa aliesikia na alieipatia ufafanuz hii taarifa...
  3. moudy_b6

    Jinsi ya Kuandika Project Plan

    Ni vizur kwanza ungesema unataka plan ya aina ip ya project coz kuna aina kuu za project ambazo ni 3 ni community project, capital intensive project and small or profit making project.... Let me assume you want a community project so in a conmunity project kuna hatua 3 muhimu ndizo ambao...
  4. moudy_b6

    HESLB watoa awamu ya pili wanafunzi waliopata mkopo 2015/16

    Hakika wewe ndio miongoni mwa maraic ambao nilitamani watokee kuliongoza taifa la TZ unajali hali za wanyonge kiukwel big up ndoto za kuelekea unii zilikua zimeshafifia.
  5. moudy_b6

    Msaada: Nimepata mkopo HESLB 7.8%

    Shukuru ulichopewa mkuu...kuna mwenzio mmoja tuition fee ana 0%...ukizingatia ada ya chuo ni 1300000
  6. moudy_b6

    Msaada jinsi ya kupata mkopo kwa hili ninastahili

    Mkuu hapo hapana ktu...mkopo wa helsb km jina lake higher education student loan's board...wanaosomea degree ndio wanaopewa mikopo.
  7. moudy_b6

    Waliochaguliwa kwenda.cdti-tengeru {special thread}tukutane hapa

    Nipo mkuu...vp kipo OK kile chuo au ndo hivyo tna!!!!!
  8. moudy_b6

    msaad plz

    "Fasihi na literary works"ndo kitu gan ?
  9. moudy_b6

    Cdti

    Aahhh...pouwah....mi nimechukua PPM mkuu.....
  10. moudy_b6

    Cdti

    Umeomba ip mkuu?
  11. moudy_b6

    Cdti

    wakuu tukutane hapa!!!!!
  12. moudy_b6

    Ni vigumu sana Tz kutiminza ndoto zako

    Mkaka c uliomba mwenyewe lkn nani unamuekea zogo xx???
  13. moudy_b6

    Second selection TCU tayari!

    Hahahaah... .pole xna JITAMAN mm mwenzio chaguo la 5 ndo limekua la mwanzo. .yan tcu majanga tu
Back
Top Bottom