Post kama hizi huwa zinasaidia kutusahaulisha madudu ya watawala [emoji4] [emoji4] [emoji4] karibu boss lady ukisikia kelele za Wenger In /Wenger Out ujue ligi inakaribia kuisha [emoji3]
We huoni kama kuna tatizo? Jamaa alishawahi kukiri account yake ilishawahi kusoma salio la 1billion, lkn amezichezea now amejiajiri boda boda mtaji hata million 3 haufiki.
Hii mada si ya kijuha kuna funzo kubwa sana linapatika hapa, watu aina ya CK wapo wengi sana kitaani wanapata pesa wanazichezea mwisho Wa siku wanarudi chini kuanza upya. Kama vijana tunatakiwa kujifunza namna gani tuishi pindi tunapozikamata pesa.
Kiukweli hayo mnayosema hayapo tu kwa wanaume wa dar hata huko mikoani ndo hivyo hivyo, ukihoji wanaume wa dar kusoma magazeti ya udaku then hoji wanaume wa JF wanaopita jukwaa la celebrity hamna tofauti habari ni zile zile za kina Wema, Diamond, Alikiba, Lulu cjui nani yaani umbea umbea halafu...
Kaka hapo umetupotosha, hata siku moja nyumba iliyotumika kama security haiwezi kuwa asset kwa aliyekopesha (bank). Kwa bank asset ni ule mkopo waliokukopesha, ukipitia hata financial statement za bank or any other financial institutions utaona kwenye asset kuna kitu kinaitwa "loan portfolio"...
Mark X ya 2006 inauzwa bei 16.5m gari ilisajiliwa bongo mwaka jana mwezi wa 7.Ni gari ya mhindi ipo posta, jamaa anataka 16.5m.Kama upo interested check na mimi nikupeleke ukaikague.Gari ni almost new kabisa.
Nipigie 0714099916
Duh wabongo tuna vichwa vigumu kha!!! Yaani mwaka 2014/15 unasema Jide ni bora zaidi ya Vanessa? Jide wa sasa hv c yule wa zamani hebu jaribuni kubadilika
Waumini mdogo wangu ameharibu sana matokeo ya kidato cha nne, sasa nataka arudie mtihan lkn asikae kitaa. Naombeni ushauri kama kuna mtu anafahamu shule nzuri ya boarding kwa hapa dar inayoruhusu private candidate.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.