Recent content by moud.com

  1. moud.com

    Naomba ufafanuzi kuhusu elimu ya kitabibu

    Nina mdogo wangu amehitim kidato cha nne amepata division four ya 27. CIV - D HIST - D GEO - D E/D/KIISLAMU - D KISW - C ENGL - D CHEM - D BIO - D B/MATH - F Kwa alama hizo anaweza kusoma kozi gani ya maswala ya kitababi na ni chuo gani kizuri cha serikali?
  2. moud.com

    Star TV mjutie na mjifunze

    Watajuta hao star tv mbona tushawajua kwamba nao ndio walewale wana nidhamu ya woga, bigup itv
  3. moud.com

    Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    Hayaaa nipe code namm nivote
Back
Top Bottom