Wadau nionavyo, ni muhimu sasa ulinzi wa Mheshimiwa Rais uimarishwe maana adui sio tu anayetajwa tajwa saivi.
Kuna wengi kwenye sekta mbali mbali ambao wanaliona tonge lao likiondoka mdomoni wana ushawishi na uwezo mkubwa .
Safari za rais nje ya nchi ziendeleee kudhibitiwa wasije kudungua...
Magufuli nchini Kenya nimebaini haya nikisaidiwa na katuni hizi
Tofauti kati ya nchi inachochewa na wanasiasa wabinafsi
Matatizo ya wananchi ni yale yale maana wakenya walikuwa wakimlilia raisi wetu atoe elimu kwa mwenzake jinsi ya kukabili tatizo
tunao tumia mitandao hakikisha unafahamu...
jambo hili limeonekana kuibua mwitiko haraka wa mawaziri karibia 3 Mwigulu, Ndalichako na Simbachawene. Lile tukio kibaya zaidi la mauwaji ya watafiti limetolewa ufafanuzi na mkuu wa wilaya kwamba hawakutoa taarifa. Binafsi nashangaa iweje tuchangamkie hili na tusite kushughulikia mauwaji yale...
Ni mtizamo tu. Serikali za nchi tofauti (baadhi zikiwemo Kenya, Uganda,China} zimechangia. Watu Binafsi wamechangia. Kampuni za mafuta zimejitolea kujenga shule 2 kati ya 4 zilizoathirika. Kati ya misaadi ni pamoja na mabati. Hadi hapo serikali ya Jamhuri ya Tanzania haijatangaza imejipanga kwa...
Al-Muhajiroun’s Muhajirah 1st Stab on Terrorism in Kenya
Al-Muhajiroun’s Muhajirah 1st Stab on Terrorism in Kenya
On Sunday 11th of September 2016 at approximately 1000hrs EAT, Tasnim Yakub Abdullahi Fara & Fatuma Omar and another jihadist identified as Mariam, all inspired by Al-Muhajiroun...
Indeed Aidan you have done justice to the futuristic view of Raisi s options. There are two possibilities either to take this as advice or to take affront and close the doors to useful input . Which shall it be for the powers that be
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.