Recent content by Motor

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ombi la kurejeshewa Internet

    Mbona wote tuko hewani
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kura yangu kwa Lissu

    Kura yangu kwa lisu
  3. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

    Tatizo wanamfanyia kampeni Bila kujuwa. Wangemsindikiza Kimia Kimia watu wasingejuwa
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi mgombea wa CCM atafikisha hata 40% ya kura kweli?

    20% atafikisha kwa bahati Sana. Hali ya maisha ni ngumu sana
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hatimaye Mkurugenzi wa uchaguzi Jimbo la Kibamba ameachia, atoa fomu kwa mgombea Ubunge halali wa CHADEMA

    Mama alitaka kuchomoa betri mapema. Lori la mafuta lingewaka
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jimbo la Ruangwa tumuache Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa apite bila kupingwa

    Chadema itawatoa macho. Korosho bomu tosha
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenyekiti wangu Dkt. Magufuli kuna kitu ambacho haukukifanya kitakuangusha tu kwenye Uchaguzi huu

    CCM hawataki kuambiwa ukweli. "Uchaguzi huu utapaleka balaa CCM. CCM hawata amini kitakachotokea October 28. Mda ndio utasema.
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Ubunge Mwenzetu alilipia ukumbi wa kura za Maoni akashinda

    Mbona mbeya mjini ,aliyeshinda alitowa rushwa wazi wazi mchana kweupe. Arusha wapeni chadema tu hizo kura
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta: Wakenya hawapaswi kujilinganisha na mataifa yanayoficha taarifa za COVID-19

    Karusha jiwe kichakani
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kilio hiki kikufikie Dkt. Bashiru na Rais Magufuli. Rushwa yatoa mgombea Singida Magharibi

    Mtoa post kubali matokeo, wewe mbona na wewe ulikuwa unatoa pesa? Lizika nahiyo nafasi ya tano uliyopata. Wewe so ulikimbia chadema Kimia Kimia. Au unafikili hatujui?
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kama ni kweli basi Kamati ya Roho Mbaya ya CCM hasa Jimbo la Kigamboni mkimaliza Kumlima Mtu mnione

    Jamati ya "Roho mbaya" hatari Sana. Hawanaga huruma hao
Back
Top Bottom