HaHapa hitaji kuwa umesoma uchumi. Ni Common sense tu wakati fulani inatawala
Kuna kusom sana bila kuelimika; na kuna kuelemika bila hata kwenda shule. Elimu ni maarifa na ufahamu zaiidi ya mambo
yanayokuzunguka na namna ya kuyakabili na kuyatatua...
Siku za karibuni humu kumegeuzwa sehemu ya matusi zaidi kuliko kujibu hoja
. Mtu hajaisoma hoja na kuielewa anananza kubwabwaja tu. Tusiendekeze ushabiki. Kwenye ukweli pabaki ni ukweli
tuweze kusogeza taifa mbele. Bila kukosolewa mwanadamu hatakaa ajifunze.
Yote haya ni kukosa mafunzo ya utawala bora. CCM ni kama mchanga wa bahari na mawimbi. Wanasukuma sukuma tu bora lende. Ni hatari kwa maisha ya wananchi. Tuna watawal na siyo viongozi.
Nia ya CCM iikuwa ni kupata watu wengi bungeni kwa akili ya kujibu Ndiyooooo! Habari ya uongoza watanzania haipo. Unategemea kwenye kundi hilo atoke waziri! Thubutu.Ujinga ndiyo silaha ya ccm.
Hii ccm ni ile wazee wako waliianzisha au ccm maslahi? CCM ya kurithishana. Baba, mjomba, shangazi, mtoto na maswahibs ktk uongozi. Je, hiyo ndiyo ccm unyoijua wewe kweli.Maana mtu husifia alichokikuta hata kama hajui asili yske. Kalaga baho.
Wewe ccm umeanza kuijua lini. Usishabikie kitu usichokijua kwa kuambiwa tu au kukariri.Kaome historia ya chama chako ilivyokuwa huko nyuma na ilivyo sasa halafu uje na hoja ya msingi inayoonesha upinzani ulianzaje na kwa nini uwepo.
Udugu unapokuwa ccm. Ukiwa mpinzani ni ukanda na udini. Siasa za uani na jikoni hazifai. Kwenye ukweli uongo na upuuzi ujitenge. Tuwe waungwana na wakweli. Jibu hoja.
Habari wana JF. Mimi siyo shabiki wa chama chochote cha siasa. Nasikitishwa sana na badhi ya wahariri wa magazeti hapa nchini kwa kushindwa kufanya kazi ya kuelimisha wananchi hususani wakati huu wa kuelekea uchaguzi mkuuu jinsi gani wananchi wanatakiwa kujiandaa kupiga kura, badala yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.