Recent content by MotoKazi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Vincent Mashinji alikosa uadilifu ndani ya CHADEMA. Hakuna pengo kuondoka kwake

    Wote tu, ukiona mwanachandema ambae hajafungwa ujue muadilifu tu.... Maana hata wanaofungwa wanakuwa wameonewa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nani yupo sahihi: Magufuli vs Lissu

    Barrick versus Tanzania 84/16% share, Je ni mwanzo mpya?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania wamkamata Profesa Lipumba

    Ni Polisi Handeni hao siyo Polisi Tanzania..................
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kazi na Bata ni kauli mbiu inayomnyima usingizi Dr Bashiru

    CCM sio jina, ni fikra na matendo, huko kwingine kuna CCM yenye jina lingine.........
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kazi na Bata ni kauli mbiu inayomnyima usingizi Dr Bashiru

    Uvivu wa kuiondoa CCM mandarakani inayoshindwa tafuta masoko ya mazao yanaozea kwa wakulima, inauza madini nje kwa bei chee, inashindwa tagaza vivutio vya utalii, inashidwa kuweka mazingira bora kwa wafanyabiashara, inashindwa kutoa elimu bora kwa watu wake ili waweze kujiajiri, inateka na kuuwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wanyama Waliopelekwa Burigi Chato Wahamia Akagera National Park Rwanda

    Yani mmeona weekend ndefu mmeamua kumuaribia mood tu Mkuu.......... Hahahaha.......
  7. M

    JamiiForums Tanzania Uhalisia uliopo ndani ya CHADEMA usiosemwa machoni pa watu

    Ujumbe ni kwamba "NI RAHISI SANA KUPANDIKIZA RAIS WA MAREKANI KULIKO KUPANDIKIZA MWENYEKITI WA CHADEMA"
  8. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenzangu tuliombee Taifa letu, kuna kitu kinataka tokea

    Taja tu Tuokoe na Janga lolote.....
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ambayo Mzee Mkapa hajaweka wazi katika kitabu chake ''My Life, My Purpose''

    anaundugu na Evander Hollfield.....
  10. M

    JamiiForums Tanzania Anguko la Upinzani nani alaumiwe?

    Achana nae, wewe unamwona badala ya kujibu hoja ana-type.....
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ili Kutofautisha CCM na Chadema Tafakari Picha Hizi

    Mtu makini akikatiza mbele ya wajinga........ Kama Messi tu na Mabeki.....
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Sitarudi tena Tanzania hadi nihakikishiwe Usalama wangu

    Inawezekana kabisa kutegemea na sababu alizotoa za maamuzi yote mawili.............
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Sitarudi tena Tanzania hadi nihakikishiwe Usalama wangu

    Hamisheni Magoli tu.......
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kipilimba alistahili alichopata leo, wanaomwonea huruma wanasahau haya

    Alitakiwa akatae kutumwa kinyume cha taratibu.... Akatae mashinikizo...... Then wakizidisha mashinikizo, alitakiwa ajiuzulu... Hizo ndiyo sifa za watu wanaostahili hiyo post.. Otherwise awajibike tu.....
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko kwenye idara nyeti kama Tiss mara nyingi ni top secret

    Kama hizi post hii au kama hizi zimekufanya kuandika basi nawewe unaweza ukawa karibu nao maana ulitakiwa uwapuuze.... Naomba ueleze mabadiliko ya Taradibu na polepole yanakuwaje...?
Back
Top Bottom