Ili Kutofautisha CCM na Chadema Tafakari Picha Hizi

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,798
71,218
Picha hizi zaweza kutoa mwanga wa utofauti wa wakereketwa wa CCM na Wafuasi wa Chadema.
Hapo ndio waweza kujua maana ya usemi "kuna watu na viatu"
IMG_20191015_130954.jpeg
IMG_20191015_130949.jpeg
 
Unataka nilete video jinsi Sisiem wanavyonyanyaswa...Acha chuki mbona hujaweka picha ya wafuasi wa CHADEMA wanavyofanya fujo...maana wengi ni wavuta bangi wakaa vijiweni na wavivu
 
Picha hizi zaweza kutoa mwanga wa utofauti wa wakereketwa wa CCM na Wafuasi wa Chadema.
Hapo ndio waweza kujua maana ya usemi "kuna watu na viatu"View attachment 1234185View attachment 1234186

Huyo Mtu wa CCM aliyebeba ' Kitofa ' cha maana katika Picha ya Kwanza hapo juu ana Vigezo vyote vya kuwa Mtu Katili, Gaidi na mwenye Roho Mbaya kuliko Watanzania wote. Kama ana Mke basi ninamuonea mno Huruma huyo Shemeji yangu kwani hapo hana Mume bali ana Mume Bedui kabisa. Na inavyoonekana hapo Pichani kwa hizo Mbio anazotoka nazo huku ' akitambaa ' vizuri na hiyo Kona anayokata hapo angempata huyo Mlengwa wake basi angemuua kabisa.
 
Unataka nilete video jinsi Sisiem wanavyonyanyaswa...Acha chuki mbona hujaweka picha ya wafuasi wa CHADEMA wanavyofanya fujo...maana wengi ni wavuta bangi wakaa vijiweni na wavivu
Ukiweka hiyo video utasaidia zaidi kuelewa tumeangukia wapi?
Hatuwezi kuwekeana uadui wa kufikia kupigana matofali kwa sababu ya itikadi tofauti tuu.
Na ukiangalia vizuri hawa wanaoonyesha upendo kwa mtu wa chama kingine ni vijana na hawa wenye silaha za kutoa kipigo ni watu wenye umri mkubwa au wazee!
 
Picha ya Juu ‘Mdudu’ akiondolewa asihatarishe Maisha ya Wapenda Amani

Kuna Mzalendo kulia kabisa ana kipande cha Tofali hahahaha
 
Huyo Mtu wa CCM aliyebeba ' Kitofa ' cha maana katika Picha ya Kwanza hapo juu ana Vigezo vyote vya kuwa Mtu Katili, Gaidi na mwenye Roho Mbaya kuliko Watanzania wote. Kama ana Mke basi ninamuonea mno Huruma huyo Shemeji yangu kwani hapo hana Mume bali ana Mume Bedui kabisa. Na inavyoonekana hapo Pichani kwa hizo Mbio anazotoka nazo huku ' akitambaa ' vizuri na hiyo Kona anayokata hapo angempata huyo Mlengwa wake basi angemuua kabisa.
 
Huyo Mtu wa CCM aliyebeba ' Kitofa ' cha maana katika Picha ya Kwanza hapo juu ana Vigezo vyote vya kuwa Mtu Katili, Gaidi na mwenye Roho Mbaya kuliko Watanzania wote. Kama ana Mke basi ninamuonea mno Huruma huyo Shemeji yangu kwani hapo hana Mume bali ana Mume Bedui kabisa. Na inavyoonekana hapo Pichani kwa hizo Mbio anazotoka nazo huku ' akitambaa ' vizuri na hiyo Kona anayokata hapo angempata huyo Mlengwa wake basi angemuua kabisa.
Mzee unamuonea huruma mke wa huyo mzee!! mie nadhani ungempongeza mke wa stone tangawizi anawezaje kuishi na kiumbe yule. Au huyu mzee mwenye kibalaghashia hapo lazima atakuwa anakula watu sijui mkewe ananusurikaje
 
Kuna mambo yanafurahisha sana...

Picha ya kwanza... *****... watu wanataka kuua binadamu mwenzao...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom