Lissu atawauliza maswali ya kichokozi sana, hasa kwenye maeneo tofauti tofauti ya ushahidi wa Heche, Kamata kamata ya wapinzani, watu kutekwa na kupotezwa, mauaji wakati wa kampeni na chaguzi, na aliyetoa amri ya shoot to kili Oktoba 29. Kwa nafasi zao wakijibu hawajui ni kujimaliza. Hata kama...
Kumekuwa na utaratibu usio rasmi wa kuwalazimisha vijana kujiunga na kushiriki mafunzo ya mgambo.
Vijana wanalazimishwa kuacha shughuli zao na kushiriki mafunzo ya mgambo.
Kwa wale watakao kataa hukamatwa na kutozwa faini ya Tsh. 50.000/=. Matokeo yake vijana hujificha au kukimbilia mijini na...
Hili linaweza kuwa lina ukweli...wengi Mawaziri walioachwa wa nongwa kwenye wizara zao...Biteko kama N/waziri mkuu, Jenister mapicha yanayozagaa, Bashungwa mauaji na utekaji wa Mapolisi, Ndumbaro mambo ya Mahakama, Tax tuhuma za mamluki kutoka UG na Zenji
Mfu hasemwi vibaya.....kwa kawaida lawama zinaenda kwa dokta(kocha)wauguzi (wachezaji)na ndugu (viongozi)Tukubali tu Man U ishakata roho, twendeni tukazike.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.