Recent content by MOTHER

  1. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo ngorongoro, nije Halmashauri yoyote ndani ya mkoa wa Kagera Idara ya msingi
  2. M

    Vyuo vya kati Tanzania ajira zake hutolewa mwezi gani kila mwaka?

    Siku hizi wanachukua walimu wa primary au sec. Wenye uzoefu wa angalau miaka miwili kazin
  3. M

    Naomba kujuwa namna mwalimu anavyoweza kushift kutoka Ualimu Sekondari Hadi Ualimu vyuo vya Kati!

    Kwenye mfumo ni taasis gan ambayo inadeal na ukufunzi.. ni NACTVET au ipi?
  4. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi ni mwalimu wa msingi halmashauri ya Ngorongoro, je naweza kubadilisha kituo Cha kazi ndani ya halmashauri yangu? Na je nafuata utaratibu gani mpaka nifanikishe uhamaji huo?
  5. M

    Tetesi: Ajira za walimu 2016

    hakuna ajira za walimu tena, sababu hatuna pesa za kuwalipa, na wahisani ndo hao wanazidi kujitoa. POLENI
  6. M

    Serikali kuajiri walimu 21000 mwaka 2015/16

    sidhan maana walimu wamejaa mpaka bac labda tumuombe Mungu
  7. M

    vipi ajira za ualimu mwaka kesho(2015/2016)

    ajira kwa sasa ni ngumu na kuna baadhi walioitimu mwaka jana tena sayansi lkn wameachwa cjui kwanini
Back
Top Bottom