Recent content by mosses jr

  1. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Router za 5G from tigo for free

    Jipatie router kwa matumizi ya ofsin nyumbani na hata kwenye biashara yako, ambayo utapatiwa bure na utalipia laki moja kila mwezi kwa maps 20,na kuendelea hii kwa walioko dsm tu kwa mawasiliano nipgie 0672696527
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nimechoka Kuota Napaa Usiku

    We una chembechembe za uchawi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tics wamemaliza mkataba, TPA wamekabidhiwa na wafanyakazi wa kutwa wanawalipa elfu 9000

    Asa itakuaje ni Bora apewe muwekezaji watu waliosota na ajira wapate mikataba Kama ilivokua tics maana T.p.a.haithamin wafanyakazi kazi wake wakutwa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tics wamemaliza mkataba, TPA wamekabidhiwa na wafanyakazi wa kutwa wanawalipa elfu 9000

    Asa itakuaje wafanyakazi wa T.P.A. niwachache hvo ma operator watatumika vibarua na wanalipwa 11500 huku makalani 9000, ni aibu ni Bora apewe muwekezaji watu wamesota Sana angalau wapate mikataba Kama ilivokua kuwa kwa Tics maana T.p.a. haithamin wafanyakazi wake wakutwa na ndio wanazalisha na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa kutwa Bandarini wanalipwa Shilingi 9,000 - hii inasaidia nini?

    Mheshimiwa waziri wa uchukuzi kila siku anakuja bandarini kuzunguka na kukagua ina maana hili suala tuseme halijui kuwa watu hawana mikataba na hawana vifaa vya kujikinga na pesa wanayolipwa ni 9000? Hivi kweli mtu ana professional kabisa unakuta operator au Karani au technician elfu inamsaidia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Uchukuzi hana taarifa kuwa baadhi ya wafanyakazi wa Bandarini (TPA) hatuna mikataba?

    Nmekua nikifanya kazi pale ndani ya miaka 4 hivi sasa lakin linapokuja swala la mikataba linayayuka, na kwa wasio fahamu tu kuwa wanaofanya kazi bandari ya Dar es Salaam asa no wafanyakazi wa kutwa, yaani ambao hawana mikataba na hakuna dalili zakupewa mikataba ikiwemo bima ya afya na vifaa...
Back
Top Bottom