Recent content by Mosiwakaya

  1. M

    JamiiForums Tanzania FTA Channel!

    Mkuu kama ndo hvo mbadala wake itakuwa wiz, na nduguze
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaasa: Jinsi ya kupata Antivirus

    asante kiongozi ngoja nijaribu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania FTA Channel!

    sawa mkuu
  4. M

    JamiiForums Tanzania FTA Channel!

    Mkuu hiyo sijawahi jaribu kuwa mwindaji unaweza ukafanikiwa
  5. M

    JamiiForums Tanzania FTA Channel!

    Mkuu itakuwa ni receiver maana nilijaribu kutumia decoder ya Azam haikuleta tatizo kabisa ila ilikuwa ya kuazima kwa mtu, nimejarbu kutafuta madukan waniuzie decoder ya Azam yenyewe wanuza 80,000 CHIEF MKWAWA.
  6. M

    JamiiForums Tanzania FTA Channel!

    Bei gani hiyo gsat 23g
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaasa: Jinsi ya kupata Antivirus

    sawa mkuu, kwahiyo ipi itanifaa zaidi mm natumia window xp.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaasa: Jinsi ya kupata Antivirus

    mkuu yenye full key c ndo bora zaid
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaasa: Jinsi ya kupata Antivirus

    Heshima kwenu wakuu, Nawaombeni msaada wa kupata antirus, natanguliza shukrani za dhati kwenu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania FTA Channel!

    Asante kwa ushauri wako
  11. M

    JamiiForums Tanzania FTA Channel!

    Mkuu mm nipo Tarime kwahiyo mpg4 yoyote itafaa kwa hili dish la zuku?
  12. M

    JamiiForums Tanzania FTA Channel!

    Na mm nasubiri wataalam waje watupe maujanja zaid
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kila nikistuka usingizini nakuta neti (Chandarua) imechomolewa

    Muombe mungu huto ota ndoto za ajab ajab tena
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa mabasi ya J4 apiga wawili kwa risasi

    Haki itendeke kwa unyama alio ufanya.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mariam Mkumbaru wa TBC afariki kwa ajali ya gari

    Mungu amlaze mahali pema peponi...
Back
Top Bottom