FTA Channel!

FTA Channel!

Mkuu itakuwa ni receiver maana nilijaribu kutumia decoder ya Azam haikuleta tatizo kabisa ila ilikuwa ya kuazima kwa mtu, nimejarbu kutafuta madukan waniuzie decoder ya Azam yenyewe wanuza 80,000 CHIEF MKWAWA.

Mbona niliambiwa kuwa hizi za sasa hazifai kuchakachulika? Labda utafute zile za mwanzo kabisa. Je kuna ukweli hapo?
 
Last edited by a moderator:
haizidi 250,000/= nilinunua yangu zanzibar kwa laki mbili tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom