Recent content by Moshi wa Kumbi

  1. Moshi wa Kumbi

    JamiiForums Tanzania Pixie Oranges, Kiwi, Blueberries, Lemons, Dragons na Lime ni matunda yenye feature kubwa sana

    Nipo Mkoa wa Kusini Unguja Zanzibar
  2. Moshi wa Kumbi

    JamiiForums Tanzania Pixie Oranges, Kiwi, Blueberries, Lemons, Dragons na Lime ni matunda yenye feature kubwa sana

    Kwa shambani kwetu tunaweza kutoa nusu tone hadi 1 tone kwa wiki. Ila watu wengi wa hapa wanalima kilimo hicho.
  3. Moshi wa Kumbi

    JamiiForums Tanzania Pixie Oranges, Kiwi, Blueberries, Lemons, Dragons na Lime ni matunda yenye feature kubwa sana

    Mkuu sisi hapa tuna mashamba mengi ya lime na tumeweka drip irrigation kabisa lakini kwa sasahivi sokoni hakuna bei nzuri nawezaje kuyatunza muda mrefu ikiwa kwenye package box ili niuze kwa muda wote.
  4. Moshi wa Kumbi

    JamiiForums Tanzania KARIBU TUWEKEZE SHAMBANI PAMOJA

    Safi sana Mimi kidogo niko nje ya mada baada ya kuona umezungumzia limao. Sisi kwetu tunalima limau na ndimu sana lakini changamoto ni soko (hakuna bei), hadi kufikia bei ya juu maana yake msimu umeisha. Nawezaje kuhifadhi ili niuze baada ya msimu.
  5. Moshi wa Kumbi

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuondoa tatizo la "Product Activation Failed" katika Microsoft Applications

    Hiyo hidden hata kwangu haipo nifanyeje
  6. Moshi wa Kumbi

    JamiiForums Tanzania Tujifunze pamoja na tuelimishane kuhusu program ya Excel

    Mkuu nimetengeneza template ya matokeo ambayo nikiweka alama inanipangia wastani,position na grade. Sasa nimekuja na wazo jengine maana idadi ya wanafunzi inazidi kuwa kubwa, wazo langu ni kutengeneza fomu ya somo moja moja ili kama najaza hisabati iwe hisabati tu then zile data ziingie kwenye...
  7. Moshi wa Kumbi

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuondoa tatizo la "Product Activation Failed" katika Microsoft Applications

    Wakuu naomba kufamishwa kuondoa lugha nyengine katika word na excel Pia document zangu zote zimeharibika na sasa zinasomeka vyengine mfano Sasahivi.veza badala ya sasahivi.doc
  8. Moshi wa Kumbi

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza ( Animation ) Motion Graphic kwa kutumia Cinema 4D

    Mkuu habar yako nataka kujifunza haya mambo sijui niwnzie wapi
  9. Moshi wa Kumbi

    JamiiForums Tanzania Kama hujawahi kabisa kuagiza mzigo kutoka China ni bora kuazia Kariakoo au Nairobi Kenya

    Habar yako hebu tupe utaratibu wa kuagiza bidhaa Turkey. Je wanalo soko la mtandao kama vile Alibaba ya China
  10. Moshi wa Kumbi

    JamiiForums Tanzania LIssu: Bandari zote bara, DP World kauziwa

    Nyinyi mnaakili gani kazi kuendekeza udini tu. Mikataba mingapi ya maadini mibovu ila kapewa mzungu mapadri wenu kimya.
  11. Moshi wa Kumbi

    JamiiForums Tanzania Online Shopping

    Taarifa zako umejaza upokee wapi? Kwa uzoefu tu mzigo wako utapokea posta pia siku hizi kuna kampuni inapokea mizigo kutoka Aliexpress na ukifika watakupigia simu.
  12. Moshi wa Kumbi

    JamiiForums Tanzania Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Habari yako mkuu, Nipo ebay kipindi kirefu lakini sijawahi kufanya order hata moja huwa naangalia bidhaa then bidhaa ile nalinganisha na Aliexpress basi huku naiona bei afadhali. Nafanya order kupitia Aliexpress. Sasa huku ebay kuna category ya selling je? Hii hutumikaje au ni mimi nikitaka...
Back
Top Bottom