Recent content by Morris_kauki

  1. M

    JamiiForums Tanzania KERO Msaada: Tuliotoka Diploma kwenda Degree tukiomba mkopo tunakutana na "No Applications Found" kwenye mfumo

    Mimi mwanzo ilikuwa inasema maombi yako yamepokelewa ila sasa inaonesha click to appeal.
  2. M

    JamiiForums Tanzania KERO Msaada: Tuliotoka Diploma kwenda Degree tukiomba mkopo tunakutana na "No Applications Found" kwenye mfumo

    Mimi jamani imeniandikia click to appeal ni nini shida lakini
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ni soko gani Dar linaongoza kuwa na mazaga ya bei rahisi?

    Mahakama ya ndizi( MABIBO)wakuu nadhani ndo soko la bei rahisi kwa hapa Dar es salaam
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashika namba 9 kwa kuwa na bei kubwa ya mafuta Afrika

    Mbona Kenya 🇰🇪 siwaoni hapoo kwenye hiyo chart
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuagizwa Mzazi shuleni tukaleta wazazi feki tukutane hapa.

    Nakumbuka jamaa angu alileta mzazi feki bwana jamaa alikuwa mtu wa logic si tukashangilia leo walimu kazi wanayoo ikatokea mzazi anatakiwa amwadhibu mtoto wake daaah jamaa alifanyia kazi hiyo adhabu hadi waalimu wakasema utamua huyo mtoto msamehe🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  6. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwasisi wa CHADEMA, Edwin Mtei afariki Dunia

    Baba wa CHADEMA ndo huyu sasa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mlima Kitonga vs Mlima Sekenke, upi mkali?

    Mlima Kitonga hapanaa umetia fora ila mlima Sekenke shida yake ni kona kali mto mmoja una madaraja saba just imagine
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye nyumba yangu alipotea hata ndugu zake siwajui, sasa nimejenga kwangu, Je niendelee kupangisha?

    Kwangu mimi ni bora wewe uende kwenye nyumba yakoo ila ubaki kuwa baba mwenye nyumba kwa nyumba ya huyo aliyeondoka alafu uendelee kutunza kodi zake mimi naamini kwa msaada wa vyombo vya dola ndugu zake ata watoto wake wanaweza kupatikana mwisho wa siku wakabidhi nyumba yao wakabithi pamoja na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Ali Kibao amekamatwa kwenye halaiki mchana, wanasema tunyamaze? Uovu lazima tuukemee!

    Walichokoza kibiritii sasa kinamwaga chechee mpaka kielewekee
Back
Top Bottom