Recent content by Moronight walker

  1. Moronight walker

    Iran ilitumia silaha aina mpya kisiri na zote zilipigwa chini kizembe, aibu sana

    Ukianglia historia kwa kiasi kikubwa utakuta iran. Imepata madhara sana kutoka kwa Israel. Ukweli ni kwamba Israel imeua wairana wengi sana hasa viongozi ndo wanadili nao, Wale watu muhimu sana kwa ustwawi wa iran katika ulizi. Kama wanasayansi wengi wa iran waliuwawa na Israel
  2. Moronight walker

    Iran ilitumia silaha aina mpya kisiri na zote zilipigwa chini kizembe, aibu sana

    Eee mbuzi gani mkuu. Mimi nimesema jinsi hali ilivyo. Sasa mbuzi katoka wapi??
  3. Moronight walker

    Iran ilitumia silaha aina mpya kisiri na zote zilipigwa chini kizembe, aibu sana

    Missile zao zinaspees ndogo sana. Ndo maana drone zaidi ya 80. Na makobola kadhaa zilialibiwa Saudi huko na zingia Iraq pamoja Syria hata kabla hazijafika Israel
  4. Moronight walker

    Makombola yanatumia saa manane angani halafu unategemea kumlipua Muisrael

    Hio ni training ground kijana angalia vizuri
  5. Moronight walker

    Makombola yanatumia saa manane angani halafu unategemea kumlipua Muisrael

    Mimi mwenyewe nimeshangaa eti kombola likiwa linakaribia kwenye target linatumia 3000km zaidi ya saa 1 haha tena hapo ndo speed imeongezeka.
  6. Moronight walker

    Hofu yazidi kutanda, Iran yaanza kutorosha wakuu wake kutoka Syria

    Hivi Israel imeuwa viongozi wangapi wa iran mpaka sasa??? MK254
  7. Moronight walker

    Rwanda yaandika barua UN kupinga kupelekwa Jeshi la SADC DRC. Yasema sio jeshi la kulinda amani bali kuivamia Rwanda na kuwafuta Watutsi wa Congo

    Yao wanataka kugawa Kongo. Ila ulikuwa mpango wa USA miaka ya 90. Na hicho ndicho kisababishi cha Second congo war. Baada ya kabila kugoma makubaliano ya kugawa congo. USA walimsupport Pk na kurudi drc kuanzisha vita ya pili , walikamata congo yote , ponea ya wacongo ilikuwa ni Angola chini ya...
  8. Moronight walker

    Rwanda yaandika barua UN kupinga kupelekwa Jeshi la SADC DRC. Yasema sio jeshi la kulinda amani bali kuivamia Rwanda na kuwafuta Watutsi wa Congo

    Unajua m23 agenda yao haina maana hata kidogo. Kwa kawaida kwanza serikali uwezi kufanya maongezi na waasi wanaosaportiwa na nchi jirani. Maana ndani ya m23 kuwa RDF wengi sana , wachache sana ni wacongo. Wanavaa uniform za RDF, helmet za RDF pamoja na Vest za RDF. Kuna kipindi vilikamwatwa...
  9. Moronight walker

    Rwanda yaandika barua UN kupinga kupelekwa Jeshi la SADC DRC. Yasema sio jeshi la kulinda amani bali kuivamia Rwanda na kuwafuta Watutsi wa Congo

    Hicho ni surface to air missile kinatumika kuangusha low frying object. Ila haupigi adui wa ardhini.
  10. Moronight walker

    Beki wa Man City ajutia usaliti kwa Mke wake

    Angefanya mkewe je?? Huo uzinifu??
Back
Top Bottom