Recent content by morongochi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufika Mkange Bagamoyo

    Nenda mbezi kapande gari zinazokwenda miono Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Liverpool inabebwa, goli la Salah offside waziwazi

    Wakati mpira unapigwa na kipa, Salah alikuwa hajavuka mstari wa kati, hivyo hakuna offside hapo Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Basi(daladala) nyingi zinazo zinazofanya safari ndani ya Dar es salaam zimechoka, ni scraper

    Kweli kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania CRDB na Tigo wamenisababishia hasara sana, nawahama rasmi

    Mimi imenikuta simbanking, nilihamisha laki mbili toka crdb kwenda account yangu ya tigo pesa, benki imetoka lakini tigo pesa haijaingia, nimehangaika siku tatu ndiyo ikarudi benki, nimekoma situmii tena simbanking
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba ila sijakatwa

    Liondoe hilo, hutaoata wa kulisafisha
Back
Top Bottom