Wadau nauliza kuhusu tohara ya mwanaume,,, me ni kijana mkubwa tu lakn bado cjafanya tohara napenda kujua kuhusu uponaji wake ni siku ngap maana Kama wasemavyo riziki ya mbwa Iko miguuni mwake... Naishi maisha ya Mwenyewe na riziki yangu had niende mtaani Kila siku... Tafadhal nijuzen naweza...
Wadau habari za kuamka... Me napenda kujua, ikiwa umefanya mapenzi na mtu afu mmojawapo akachubuka wakat wa tendo uwezekano wa kupata Ukimwi upo hapo ikiwa mmoja ameshaathirika?? Nazungumzia ikiwa mmoja kapata michubuko halaf mwngne hajachubuka.. Naomba kuelimishwa hapo wakuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.