Tatizo la kuchubuka kwa uume kila baada ya tendo la ndoa...

Morogoroo

Member
Aug 17, 2018
28
12
Wadau nauliza kuhusu tohara ya mwanaume,,, me ni kijana mkubwa tu lakn bado cjafanya tohara napenda kujua kuhusu uponaji wake ni siku ngap maana Kama wasemavyo riziki ya mbwa Iko miguuni mwake... Naishi maisha ya Mwenyewe na riziki yangu had niende mtaani Kila siku... Tafadhal nijuzen naweza kuchukua Siku ngap kupona ili kuendelea na majukumu ya Kila siku
 
Kiongozi Kupona Inategemea Pia Majukumu Yako
Ingawa Ukifanyiwa Lazima Kuna Siku Kadhaa Utapumzika Home Kabisa, Baadaye Utaendea Na Majukumu Ila Yasiwe Ya Kututumua Misuri Ambayo Itafanya Uchelewaji Kupona
 
Dah Asante mkuu ndo hapo bado nawaza nitulie hata siku 5 bila kaz
 
Mbona kichwa cha habari na maelezo yako havifanani
Wadau nauliza kuhusu tohara ya mwanaume,,, me ni kijana mkubwa tu lakn bado cjafanya tohara napenda kujua kuhusu uponaji wake ni siku ngap maana Kama wasemavyo riziki ya mbwa Iko miguuni mwake... Naishi maisha ya Mwenyewe na riziki yangu had niende mtaani Kila siku... Tafadhal nijuzen naweza kuchukua Siku ngap kupona ili kuendelea na majukumu ya Kila siku
 
Nadhani umeweka kichwa cha habari tofauti ili ukamate watu wengi waje wakushauri juu ya govi lako jinga sana ww
 
Hahah mleta uzi umeamua kutuvuta aisee.. ila any way kwa umri ulionao usihesabie chini ya wiki tatu na hapo itakulazimu uwe unajipepea kila muda na ushinde na msuli au uchi kabisa.😂

Dah sema umezingua ulikuwa wapi mda wote baada ya kuona unachubuka ndo umeamua kuvunja ukimya. Safi sana
 
Hahah mleta uzi umeamua kutuvuta aisee.. ila any way kwa umri ulionao usihesabie chini ya wiki tatu na hapo itakulazimu uwe unajipepea kila muda na ushinde na msuli au uchi kabisa.

mzee baba had naogopa make sahv kwenda hospital lazma wanipime ngoma kwanza ndo wanitahiri
 
Back
Top Bottom