Morogoroo
Member
- Aug 17, 2018
- 28
- 12
Wadau habari za kuamka... Me napenda kujua, ikiwa umefanya mapenzi na mtu afu mmojawapo akachubuka wakat wa tendo uwezekano wa kupata Ukimwi upo hapo ikiwa mmoja ameshaathirika?? Nazungumzia ikiwa mmoja kapata michubuko halaf mwngne hajachubuka.. Naomba kuelimishwa hapo wakuu