Recent content by Morocco forever

  1. Morocco forever

    JamiiForums Tanzania Argentina National Football Team (La Selección) Special Thread

    Argentina na waandishi wa habari saa 4:00 usiku
  2. Morocco forever

    JamiiForums Tanzania Marekani: Tunaomba Nchi Zingine Tuungane Kuivunjilia mbali Mahakama ya ICC Kisa Wanataka Kuficha Uhalifu waliyofanya Gaza na Sasa Iran.

    Haya sasa, tuone upande wa pili wazungu weusi wana maoni gani kuhusu hili
  3. Morocco forever

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Mnaacha kushabikia morocco mnakimbilia kwa wanariadha kisa eti timu imejaza weusi 😄 aibu gani hii!! Germany out Brazil out Portugal out Senegal out France out Cape Verde out Netherlands out Uswis out Bado england yenu yenye rashford😄 ndio tumaini lenu sio! Au tunaenda na Argentina Saint Anne
  4. Morocco forever

    JamiiForums Tanzania FT: France 0-2 Spain | World Cup 2026 | AT&T Stadium | 14 Julai, 2026 | 4:00 Usiku | France out . Spain Fainal

    Tunashabikia waafrika wenzetu 😄 aise hii kauli dah.... spain kathibitisha kuwa ufaransa ni mbovu, wanategemea counter attack nayo wamebinywa 😄
  5. Morocco forever

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Scars unapenda sana kulalamika, usijepata tu anxiety disorders...Mungu akunusuru shehe wangu
  6. Morocco forever

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Mashabiki wa ronaldo hawa, hawana pa kukimbilia tena, labda england kidogo ina wazungu weusi wenzie atajifichia huko 😄 eti Saint Anne
  7. Morocco forever

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Huyu Saint Anne
  8. Morocco forever

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Vamos ARG Vamos LA ROJA
  9. Morocco forever

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Poleni sana min 😄 kilichowakuta ndugu zao 1986 ndicho watakachokutana nacho, kwetu macho
  10. Morocco forever

    JamiiForums Tanzania FT: France 0-2 Spain | World Cup 2026 | AT&T Stadium | 14 Julai, 2026 | 4:00 Usiku | France out . Spain Fainal

    Endeleeni tu kuhama hama, na bado, pira la amerika leo linapigwa, kilichotokea 1986 basi na leo ndicho kitachotokea MESSI 🇦🇷 💪🏽 Mtoto wa kiarabu YAMAL 💪🏽
  11. Morocco forever

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Mmehamia tena kwa england 😄😄😄 mnawafuata wazungu weusi tu, ila bongo bwana
  12. Morocco forever

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Duh hii risala hatari, na leo tunawapigia ingetra yenu, kombe hata likienda spain yote sana ni familìa moja hahaaaa, ila first first ni ARG
  13. Morocco forever

    JamiiForums Tanzania FT: France 0-2 Spain | World Cup 2026 | AT&T Stadium | 14 Julai, 2026 | 4:00 Usiku | France out . Spain Fainal

    Lilikua balaa sana Kisa waafrika, wakimbia riadha na mbape wao 😄 ni mikimbio tu na kufanya faulo hahaaaa, wamekipataa
  14. Morocco forever

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Dah, walipoteana, mpira walikua wanautafuta kwa tochi hahaaaaaa. Yani walitepeta, mbape akawa anajipigia tu 😄😄😄
  15. Morocco forever

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Safi sana wenye mpira wao kunipigia hao wakimbia riadha 😄😄😄 tena refa ameiudhi sana kutotoa kadi kwa faulo walizofanyiwa spain,, all in all haikuwasaidia chochote na wakaongezwa dozi ya pili hahaaaaaaaa 💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽
Back
Top Bottom