Recent content by morning

  1. M

    Chemsha bongo ukipata nakutumia pesa ya bando

    Afu pia mto huwa na maji xo hakuna binadamu unalala mtoni
  2. M

    Chemsha bongo ukipata nakutumia pesa ya bando

    Mlinzi huwa halali analinda
  3. M

    Wanafunzi chuo kikuu cha Dar, wagoma kusaini fedha ya kujikimu (Boom)

    Naona kama mazingaombwe yaan siamini kama wapo serious hawa jamaa
  4. M

    Ushauri: Mwanaume wake kabadilika hana muda nae

    Kuna watu wanakuwa na bahati lkn wanashndwa kuitumia wakat wenzio wanatafuta
  5. M

    Ushauri: Mwanaume wake kabadilika hana muda nae

    Yaan nlimwonea huruma sana kwani anampenda sana lkn ndo hvo
  6. M

    Ushauri: Mwanaume wake kabadilika hana muda nae

    Kuna rafiki yangu yupo katika mahusiano takribani miaka 4 sahivi, na toka waanze uhusiano na huyo kaka, walipendana sana yani na huyo rafiki yangu siyo mtu mwenye tamaa ya hela kitu ambacho wasichana wengi wa siku hizi wanaangalia sana. Alikuwa anamsaidia huyo kaka hata akiwa na shida ya hela...
  7. M

    Je, Ni kweli gharama ya kiti kimoja cha uwanja wa taifa ni Tshs. 200,000/=

    Tena hyo hela kwa kiti kimoja ni ndogo sana ilitakiwa mara mbili ya hyo maana ni viti vinavyoagizwa nchi nyingne cyo Tz xo bado wamewahurumia sanaaa,Wanafanyaje uharibifu ka ule makusudi wakutegemea kesho na wakae wap?
  8. M

    Hamisa Mobeto, mtoto mzuri Tanzania nzima

    Leta picha yake kabla hajapaka make up uone
Back
Top Bottom