Kuna rafiki yangu yupo katika mahusiano takribani miaka 4 sahivi, na toka waanze uhusiano na huyo kaka, walipendana sana yani na huyo rafiki yangu siyo mtu mwenye tamaa ya hela kitu ambacho wasichana wengi wa siku hizi wanaangalia sana.
Alikuwa anamsaidia huyo kaka hata akiwa na shida ya hela lakini siku hizi huyo rafiki yake wa kiume ameonekana kubadilika sana kwani hata akipiga simu atamwambia subiri halafu hampigii tena au hata wakiwa wanaongea kwenye simu anamkatia bila sababu na wala hasemi na hamtafuti. Akimtumia sms hazijibiwi yaani ameonekana kubadilika tofauti na alivokuwa mwanzo.
Ameniomba ushauri afanyaje nami nimeona ni vema nilete uzi huu kwenu wana JF tumsaidie ushauri huyu rafiki yangu maana binti anampenda sana na ndugu zake huyo kaka wanamfahamu na wanampenda sana huyo dada ila huyo kaka ndo tatizo afanyaje?.
Karibuni sana.