Recent content by morning dew

  1. M

    Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

    Na ikija bainika kuwa mhusika/wahusika wako NDANI YA NYUMBA (wenyewe kwa wenyewe) tutazificha wapi nyuso zetu? .... Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

    Kuweni BOLD na mwende katika vyombo vya usalama mkautoe huo ushahidi ili MHUSIKA huyo mumsemae na mnaemfahamu akamatwe na kuchukuliwa hatua stahiki .... na si kujificha nyuma ya keyboard tena chumbani ....afu walalamika tu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    Hivi ingekuwaje kama kauli iliyotolewa na Raila ingekuwa imetolewa na mpinzani wa Tanzania?

    Bado Uhuru Kenyata hajaapishwa ...... nadhani kwa sentence hiyo tu utakuwa umenielewa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    Let's decode Roma's Zimbabwe..

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji1] [emoji1] kiongozi hiyo fonti fedi ... ulimaanisha front page? ..... Kweli kama usemavyo hii lugha sio rafiki .... but tukaze boot tutafika Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    Let's decode Roma's Zimbabwe..

    Heri yako kiongozi .... maana hii lugha iliyoletwa na meli ni sheeeedah aseee [emoji1] [emoji1] [emoji1] Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Rais Magufuli: Baadhi ya Mawaziri katika Serikali yangu ni Wapumbavu

    Hivi hiyo kodi yalipwaje endapo maeneo hayo ya viwanda yamegeuzwa ma godowns ya kuhifadhia/kufichia bidhaa zao fulani? ..... Na kwingine kumegeuzwa malisho ya ng'ombe wao? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    Sumaye: Wema Ashindwa Kutoa Ya Moyoni

    [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji3] Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    Jina Dr. Magufuli latawala kila mahali uchaguzi mkuu wa Kenya. Tanzania tunapata ujumbe gani?

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] so funny Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    Who is Fatma Karume? | Fatma Karume ni nani?

    Kumbe sie wenye kutumia techno tumepitwa na wakati na hatuna haki kuitwa watu twaitwa MAJITU Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    Who is Fatma Karume? | Fatma Karume ni nani?

    It's my question too.... yamaanisha mawakili wengine si wasomi? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    Who is Fatma Karume? | Fatma Karume ni nani?

    Kumbe mh. saaaana Row wa sir ashakuwa mchezaji wa akiba Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    Standard gauge Railway: Anayetoa fedha ni nani? Aliyeshinda tenda nani?Project inaanza/imeanza lini?

    Hapo kwenye MPUNGA hapo badala ya kujengea STANDARD GAUGE RAILWAY .... tugawiwe wananchi hata nusu na robo kila mmoja tukapike WALI..... nawaza kwa sauti Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    CHADEMA yaanzisha operesheni ondoa msaliti

    Nimechekaje [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] .... hakika Jf hsijawahi muacha yeyote na huzuni Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
  14. M

    Angalizo; CHADEMA mchunguzeni mbunge wa Arumeru Mashariki,anashawishi madiwani wenu kujiuzulu

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] umeshindwa kumuamini eee Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
  15. M

    Angalizo; CHADEMA mchunguzeni mbunge wa Arumeru Mashariki,anashawishi madiwani wenu kujiuzulu

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] JF is so funny Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom