Recent content by Morley

  1. M

    Diamond avunja rekodi ya umati mkutano wa Dewji Singida

    Vizuri napenda hali kama hii mie sijawahi kumchukia hata mmoja nahisi nafaidi kuliko waliojigawa
  2. M

    Nimeibiwa kiboya kweli, hata sijielewi

    Mie kanfanya nitoe machozi sijui kawaza nini
  3. M

    Nimeibiwa kiboya kweli, hata sijielewi

    Mtaalamu wa nini ama yule alosema babu tale? Jf mnankfurahisha haswa
  4. M

    Nimeibiwa kiboya kweli, hata sijielewi

    Umenifanya Nicheke kama namwangalia majuto
  5. M

    Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Tu wepesi wa kutoa kauli bila kujua ukweli wenyewe. Wengi wanafikiri Alikiba karudi baada ya mafanikio ya kina Fulani. Ally alikaa muda huo bila kuimba kutokana na mambo mengi sana msiyoyajua.Hugo Afande umfananishaye kaimba nyimbo nyingi sana ila hayupo pale alipokuwepo. Aliitwa King na MTV na...
  6. M

    Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge yawaadhibu wabunge 5 wa Upinzani

    Si kwamba nafurahi kama kosa limefanyika kwa namna jiyo wafanywe nini? Waendelee na vikao vya bunge? Ama wafanywaje kwenye kamati ya maadili wamesema nini hao waliopiga kelele? Hiyo namna ya kudai haki si nzuri nakumbuka walivyotoka bungeni kipindi Rais amafungua bunge je , ilizuia Rais kutokuwa...
  7. M

    Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge yawaadhibu wabunge 5 wa Upinzani

    Hivi kwa kosa walilolifanya walistahili adhabu ipi zaidi. Wameniboa kutumia njia ile kudai haki.Huu ni mwendelezo wa kuwa right kwenye wrong way. Sa wamewaacha hao wanaodai mafisadi huru wakifanya wakitakacho
Back
Top Bottom