Mawakala Wa Wezi,Waporaji Na Mafisadi Ni Wengi Utawasikia Wakipiga Kelele Kumtoa Mhe Rais Kwenye Malengo Na Mipango Aliyonayo Juu Ya Tanzania.
Kazi Hiyo Hawafanyi Bure Wanalipwa..... Hakuna Asiyejua
Sent using Jamii Forums mobile app
*HAKIKA NITAMCHAGUA TENA 2020*
Kama kuleta nidhamu kwa viongozi, watumishi na watendaji serikalini ni udikteta, basi nitamchagua tena *MAGUFULI 2020*
Kama kuwaondoa watumishi hewa, wanafunzi hewa wa msingi, sekondari na vyuo vikuu; pamoja na kukabiliana na vitendo vya ubadhirifu, ufisadi...
1. Ifahamike kuwa tuna Vituo vya Kutoa huduma za VVU na UKIMWI takribani 4,737 katika ngazi na Halmashauri mbalimbali nchini. Hivi vinaendelea kutoa huduma ikiwa ni pamoja na huduma za kitabibu (Bio-Medical interventions); Huduma za mabadiliko ya Kitabia (Behavioural Interventions) na Huduma za...
Mwenyekiti wa UVCCM Moshi Vijijini Ndg Masiga Gulatone amesema anashangazwa kuona takribani miaka miwili imepita toka uchaguzi mkuu ufanyike bila ya CCM kuwachukulia hatua waliokisaliti wakati wa uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na Rais hivyo ameomba viongozi katika ngazi zote kuanzia ngazi ya...
NCCR Mageuzi imezidi kupata pigo baada ya kukimbiwa na wanachama wake wapatao 52 akiwemo diwani wake wa kata ya Kilema kusini ambaye alitangaza muda wowote kujiunga na CCM ajulikanaye kama Honorati Mosha maarufu kama Kawawa.
Wananchi wa Jimbo la Vunjo wamelalamika ni takribani mwaka wa pili...
Mange hajawahi kuwa mkweli. kama alipata mtoto wa kwanza wa kike mweusi lakini akamdanganya mzungu wake anayeishi naye TEXAS eneo ambalo gharama za maisha ziko chini kuliko sehemu yeyote nchini Marekani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.