Recent content by mop

  1. mop

    JamiiForums Tanzania Mitazamo ya Wazee Vijijini Kuhusu Sakata la CAG na Spika

    Vipi hao wazee maruani hawakukuuliza pia lile gari la Chadema lililomilikishwa kwa Mbowe utaratibu upoje?
  2. mop

    JamiiForums Tanzania Catherine Ruge: Serikali ya awamu ya 5 imevunja rekodi ya kukiuka Sheria ya Manunuzi ya Umma ya 2011

    Uko sahihi,pia hiyo ni sheria inayochelewesha mambo na ni sheria ya wapigaji waliojiwekea
  3. mop

    JamiiForums Tanzania Katika kila watu 10, Kuna Wana CCM 7

    Hiyo research yako ina kasoro, Ukweli ni kwamba Magufuli atashinda kwa zaidi ya asilimia 90
  4. mop

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mapato(TRA), imefanikiwa kukusanya Shilingi Trilioni 11.96 katika kipindi cha Miezi Tisa

    Ngoja Zitto Kabwe aje na figure zake sijui anazipataga wapi
  5. mop

    JamiiForums Tanzania Bunge Leo laahirishwa Sababu wabunge wa CCM wanaenda kufanya kazi za chama na posho wamechukua

    Hata wakiwepo Bungeni wanakula pesa za walipa kodi bila kazi yoyote,acha waende tu
  6. mop

    JamiiForums Tanzania Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu? Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine?

    Mzaramo vitani labda akafundishe kikundi cha ngoma
  7. mop

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Zaidi ya Watanzania 380 Wanatajwa ‘Kupotezwa’ MKIRU

    Zitto aliache jeshi la polisi lifanye kazi yake aache kuliingilia. Suala la uhalifu si kitu kidogo na uchunguzi unahitaji umakini mkubwa
  8. mop

    JamiiForums Tanzania Wakili Jebra Kambole: TLS siyo mali ya umma, haijawahi kuwa mali ya umma na haitakuwa mali ya umma

    Nahitaji kujua,' Ilikuwaje TLS iwekewe kanuni mpya kabla ya uchaguzi wa majuzi kwamba Rais wa TLS asiwe kiongozi wa chama cha siasa?" Ni nani aliweka hiyo kanuni? Ni nani anaikontroo TLS?
  9. mop

    JamiiForums Tanzania DR Mollel wa Siha aicharanga CHADEMA kwa takwimu. Atoa ushuhuda mzito

    Acheni hizo basi, wanachadema wengi hatuna ajira tunategemea hiyo michango ya wabunge kuendeshea maisha hapa mjini
  10. mop

    JamiiForums Tanzania Askofu Stephen Munga: KKKT kamwe haitamuacha mkuu wa Kanisa adhalilishwe

    Mwanahabari Huru Hamkuongea lugha ya Mtanzania wa kawaida bali mliongea lugha ya viongozi wa Chadema pamoja na yale majizi ndani ya nchi yetu, Siku hizi ktk makanisa ya KKKT harambee zimebuma ndo maana mna hasira ya kukosa pesa za wizi. Mbona Watanzania wa kawaida tuko poa tu,tunaendelea kupiga...
  11. mop

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Nipo tayari kupima DNA na mwanamke aliyedai nimezaa naye

    Kuzaa nje ya ndoa siyo issue,tatizo ni pale unapozalisha lkn ukakaa juu kumtunza mtoto
  12. mop

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Nipo tayari kupima DNA na mwanamke aliyedai nimezaa naye

    Hawa Wachungaji na Maaskofu wanaoishi kwa kutoa nyaraka wasikupotezee muda mkuu, Fanya mambo yako
  13. mop

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Nipo tayari kupima DNA na mwanamke aliyedai nimezaa naye

    Hakuna mtu muongo na mnafikia kama Mchungaji Msigwa,alituambia kwamba atakayemshabikia Lowassa akapimwe akili, cha ajabu yeye ndo akawa ktk watu wa mwanzo kumshabikia Lowassa na akili hakupimwa,kwa mantiki hiyo Msigwa ana matatizo ya akili
  14. mop

    JamiiForums Tanzania Donald Trump tells Putin and Assad to expect missile attack as he says relations now worse than during Cold War

    Marekani kamshindwa Korea Kaskazini sasa anatapatapa tu
  15. mop

    JamiiForums Tanzania Yaani copy right haihitaji DNA ,damu ina nguvu sana

    Nashukuru Mungu nimekutana na huyo demu leo mitaa ya Posta ya zamani,hakina naanza kuunusa utajiri toka kwa Babu Lowassa
Back
Top Bottom