Recent content by montero

  1. M

    Serikali yaunda Tume kuchunguza Ufisadi Tanesco

    Kwa nchi kama Tanzania ambapo kuna kuogopana sana linapokuja suala la wahalifu kuwajibishwa hasa wahalifu hao wanapokuwa ni vigogo, tume zitaendelea kuwa kiini macho kwa walalahoi. Huwa nasikitika sana ninapoona aina hii ya usanii tunaofanyiwa kila siku kama watu tusio na uwezo wa kuchanganua...
  2. M

    Mkanganyiko katika Gharama za Vocha za Simu

    Nafikiri kama kweli gharama za vocha zimepanda, kitu sahihi cha kufanya ni kubadilisha hizo gharama hata kwenye vocha zenyewe, tatizo la wafanyabiashara wa kibongo ni kupenda kukamua wenzao pale wanapopata kisingizio cha kufanya hivyo. Nakumbuka nyakati fulani huko nyuma tulitangaziwaga kwamba...
  3. M

    Mkwawa High School mpo?

    Wewe tulikuwa wote, mimi nilikuwa SHABAN WEST kwa mzee Mwangoka!
  4. M

    Mkwawa High School mpo?

    Heri yako wewe umemsahihisha yule aliyesema pale makanyagio alikuwepo mtu anaitwa Nelson, mi nakumbuka mtu aliyekuwepo pale alikuwa anaitwa Nelkon(japo) si jina lake halisi. Ila mimi nilikuwa Mkwawa 96-98 na enzi za Mgohamwende, sijui yuko wapi saa hizi huyo SERIOUS GUY! Vipi wale jamaa zangu...
Back
Top Bottom