Recent content by monte caro

  1. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Barua za Uhamisho TAMISEMI kwa sasa hazisainiwi na Ofisi ya Katibu Mkuu?

    Habari, kuna tatizo naona since November 2025 barua za mwisho kutoka hadi sasa kuna strikes imewekwa kuzuia barua ambazo tayari ziko ofisi ya katibu mkuu kuto sainiwa ikisemekana uhamisho wote umezuia na waziri mwenye dhamana. Sisi tulioajiriwa mikoani na tunafamilia ziko mbali na sisi ndoa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Kuna kero kubwa ya Mkwamo wa vibali vya uhamisho (Utumishi HQ) kwa Watumishi walioomba kuhamia vituo

    Hili ni Janga, kuna ambao barua zimetoka na hadi leo ni ishu ya kusainiwa tuu na muhuri kutoka ofisi zao za juu. Huku chini unaambiwa tusibirie barua ishuke, ni mwezi wa 6 sasa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tumezuiwa na baunsa kuingia Bambalaga Dodoma hadi tutoe 50,000

    Malalamiko ya bar ya Bambalaga, Dodoma, Mabaunsa wanachagua mtu kulingana na muonekano wake, mwembamba au mfupi au mnene au umekonda ama una sura ya kitoto huwezi ingia.. Nimekuja Dodoma leo na team ya kazini kwangu watu 11 wanne wameruhusiwa na 7 tumekataliwa shida ni nini? Baunsa wanataka...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu kipimo cha UKIMWI

    Sure baada ya kutoka CTC nkawa na amani ya maisha.. Ila HIV iko really tuwe makini ndugu zangu tutumie kinga mambo ya kusex sex haraka haraka sio mazuri
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu kipimo cha UKIMWI

    Skupenda kupata pressure zaidi, nkaenda CTC nkapimwa na mtaalamu ikaonesha negative ila nina allergic zina fight kene damu so nkapewa ant allergy dawa tuu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu kipimo cha UKIMWI

    Hapana boss, nimetoka CTC unakiki same kipimo kika chora Line kene C na ikabaki ivo hakasema hana haja ya uni- niko negative
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu kipimo cha UKIMWI

    Absolutely usingizi haukuja. leo CTC wamepima na hicho hicho naonekana nilikua na contaminants kwenye mkono na skusafisha sehem na spritis kabla kutoa damu, pia nimepima damu nkakuta nina alergy inayozalisha kinga pia nikapewa ant alergy.. ila muhudumu kasema sina tatizo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu kipimo cha UKIMWI

    Nina tatizo hapa kuhusu kipimo cha HIV Kilionesha Line katika mstari wa C ndani ya Dk 15 za mwanzo ila baada ya dk 25 kuna mistari partial 2 ilijitokeka kwa mbali.. Je nini tatizo kipimo kiko active hakija expire, huyu mtu ni Negative au Positive
  9. M

    JamiiForums Tanzania Majina ya Wanafunzi wa Kidato Cha Sita Na Vikos Vya Jeshi la Kujenga la Kujenga Taifai Walivyopangwa

    According ti JKT majina yamekosewa na pia yana postiwa upya kwenye www.jkt.go.tz sio ndani ya muda mfupi kwasababu ya kuwepo kwa kambi ambazo zimewekewa majina mengi kulingana na uwezo wake..
  10. M

    JamiiForums Tanzania Majina ya Wanafunzi wa Kidato Cha Sita Na Vikos Vya Jeshi la Kujenga la Kujenga Taifai Walivyopangwa

    Inakuaje kambi kama mlale songea haifunguki?
Back
Top Bottom