Recent content by montanakamumbayi

  1. M

    Mrejesho: Uso kwa uso na shemeji gesti

    Wakuu habari za ujenzi Wa taifa Mtakumbuka 2 weeks ago nilikuja kuwaomba Ushauri baada ya kugongana uso kwa uso na mke Wa Rafiki yangu guest akitoka room na zee moja hivi huku na mm nikiwa na mchepuko ambao yy hakuuona . Hivyo akaniomba nimfichie siri bado anaipenda ndoa yake Rejea post hiyo kwa...
  2. M

    Uso kwa uso na mke wa rafiki yangu gesti

    Husika na heading hapo juu, Wakuu weekend iliyopita nilimuaga mke wangu kuwa nina semina nje ya Dar kikazi maana hiyo ndo huwa mbinu yangu ya kwenda kwenye dhambi zangu kwa siku tatu nne. Nilikua nime import mchepuko wangu kutoka arusha so nika check in kwenye hotel moja Bagamoyo...
  3. M

    Ushuhuda: Aliniroga uume ukashindwa kusimama siku ya honeymoon

    Wakuu habari, Nimekua mfuatiliaji wa jf kama visitor tu kwa mwaka mzima, wiki iliyopita nilijiunga rasmi ili niweze ku share na nyinyi mkasa huu ulionipata wakati nahangaika na ujana. Nilipomaliza chuo moja kwa moja mama wa msichana wangu alinishika mkono nikapata kazi benki ya walala hoi...
  4. M

    Najuta kuoa mwanamke mwenye mtoto

    Afadhali nimejua naongea na mjinga, ningejua mapema nisingehangaika
  5. M

    Najuta kuoa mwanamke mwenye mtoto

    Afadhali umeniambia nimejua naongea na mjinga, ningejua mapema nisingeandika yote yale
  6. M

    Najuta kuoa mwanamke mwenye mtoto

    Hujasoma vizuri Maelezo ya huyu mtoa mada, ameeleza kwenye uzi wake pia ameeleza wakati akiwajibu watu mbalimbali humu ndani Kasema hivi Suala la mkewe kukutana mzazi mwenzie Shuleni kwa sasa halipo lilitokea wakati mtoto akiwa darasa la nne, sasa hivi mtoto yupo form one Mwanamke alishawekwa...
  7. M

    Najuta kuoa mwanamke mwenye mtoto

    Nina uhakika utakua below 25 Nina uhakika hukusoma Nina uhakika hujaoa Nime conclude hivyo kutokana na nature ya comments zako Maana unakimbili kutukana badala ya Ku argue kisomi kwa hoja Mtu mwenye mke hawezi kusema Maneno haya maana kila ndoa ina shida zake tofauti ni sura ya matatizo Wapo...
  8. M

    Najuta kuoa mwanamke mwenye mtoto

    Kwa hiyo mtoa Uzi afanyeje? Umeshasema Mwarabu hafai umetoa na mifano kwamba watu wakizaa hawaachani hapo hapo jamaa kaamua Ku move on na Jirani bado unaponda as if unamjua jiran kuwa ni mtu mbaya Wabongo nimeinua mikono
  9. M

    Najuta kuoa mwanamke mwenye mtoto

    Watanzania wanafiki sana Mshasema Mwarabu hafai kabisa then bado mnamuongea Jirani vibaya je vipi huyo alieonesha usaliti wazi wazi?
Back
Top Bottom