Recent content by monta

  1. monta

    Tupeana moja na mbili ya biashara ya mtindi

    Nahitaji maziwa mkuu,nipo kinondoni
  2. monta

    Home tech32 kwa 170k tu

    Wakuu nauza tv home tech inch 32 kwa 170,000/= tu..Tv ni mpya kabisa unapewa na box lake,ipo Kinondoni.
  3. monta

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Kuna hometech inch32 mpya kabisa inataka 170,000/= tu njoo uchukue kinondoni ukaitumie nyumbani au ofisini kwako..
  4. monta

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Usajili wa Lammens unatupa uhakika wa kumalizia big 5,hapo leta Baleba tuchukue kabisa IPielo😁
  5. monta

    Makato NMB mkononi to Lipa namba

    Ni bora kutumia prepaid card haina makato
  6. monta

    Makato NMB mkononi to Lipa namba

    Hatari sana mkuu sio kama zamani ilikua free
  7. monta

    Makato NMB mkononi to Lipa namba

    Masterpass purchase wameanza wiki hii nadhani kwa NM
  8. monta

    Makato NMB mkononi to Lipa namba

    I Ila nadhani ukitumia akaunti ya pre paid hawakati
  9. monta

    Makato NMB mkononi to Lipa namba

    Na kwako toka lini wanakata mkuu
  10. monta

    Makato NMB mkononi to Lipa namba

    Kweli wakuu imeangaliwa bank statement kuna kitu wanaita VAT payable on masterpass wanalamba vibaya mno
  11. monta

    Makato NMB mkononi to Lipa namba

    Yes mkuu ATM uhakika
  12. monta

    Makato NMB mkononi to Lipa namba

    Shukrani ngoja nifanye hivyo mkuu
  13. monta

    Makato NMB mkononi to Lipa namba

    Subiri maumivu mkuu
  14. monta

    Makato NMB mkononi to Lipa namba

    Kweli mkuu kuna kitu hakipo sawa
  15. monta

    Makato NMB mkononi to Lipa namba

    😁😁 sijawahi piga kura maisha yangu yote
Back
Top Bottom