Recent content by Monomer

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dar: Wachakachuaji wa gesi za majumbani wakamatwa Malamba mawili

    Duu!Sasa hawa ndo walitakiwa wapewe kesi ya kichwa wakahangaike.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Israeli iko bara gani?

    Wale ni wazungu wenzao japokua sina imani kua israel kiasili ni wazungu au waarabu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Madereva wa mabasi na malori msikubali yaishe hadi suala la kurenew leseni ya Class C litatuliwe

    Wazo zuri sana mkuu kwa sababu haiwezekani eti mtu ulikua na class C Leo urudi shule tena kupata class D,huo ni uonevu mkubwa sana sijajua mamlaka ziliwaza nini ingekua Kila baada ya muda flani watu wanafanya mitihani Ambae anafeli Kwa round kadhaa basi afungiwe TU lessen akafanye kazi nyingine.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kitu cha kwanza anachofanya Msambaa baada ya kupata kazi ni kumroga bosi

    Kwani yule ni msambaa sio mbondei kweli?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Makonda: Waandishi natamani leo mniulize maswali magumu, sitafuatilia kama una Ithibati

    Kwahiyo hapo umemaanisha kwamba hana dhambi au anazo?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama ilimkutaje Lissu ana kesi ya kujibu kwenye kosa lisilokuwepo Kisheria?

    Tujipe muda kidogo tusublie submission ya upande wa mashitaka nayo kwa sababu hayo ni maelezo ya Lissu kulingana na alivyo itafsiri sheria.Je ukiambiwa kile kikundi cha watu waliokua wamehudhuria kwenye ule mkutano wa hadhara pale mbinga ndo umma,au huko kote ambako utetezi ulipita kufafanua...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu amefanya majumuisho ya mwisho Mahakamani 23/9/2026

    Hivi kwenye kuamua kesi sheria imesema ni lazima maamuzi ya kesi nyingine inayofanana na hiyo yafuatwe?Manake majaji wa kesi husiku hawawezi kuset presidence yao mpya kulingana na walivyotafsri sheria au jinsi walivyoshawishika na maelezo ya upande flani?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natamani huu ujasiri wa huyu mwamba ningekua nao mimi

    Mmmh haya jamani
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natamani huu ujasiri wa huyu mwamba ningekua nao mimi

    Juzi wakati nimesimama mbele ya ofsi za kata maeneo flani Kuna askari polisi wa kike akawa anakuja anaongea na simu basi nayeye katika kuongea kwake na simu inaonekana yalikua maongezi marefu akawa amesimama hayo hayo maeneo. Mwana mmoja kavaa zake simple tu kaputula jinz ya mtumba,t-shirt ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Huko Mahakamani Kwa Lisu wengi walienda wakiwa na Heshima, wakati wakurudi walirudi wakiwa dhalili

    Sasa hayo maswali yanatakiwa yaulizwe na jamhuri lakini kwakua lao ni Moja Wala jamhuri hawatokua na maswali mengi kama mnavotarajia na Wala hawatauliza hayo unayojiuliza wewe.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Huko Mahakamani Kwa Lisu wengi walienda wakiwa na Heshima, wakati wakurudi walirudi wakiwa dhalili

    Kitu kimoja cha kuwashauri wafuasi wa siasa za upinzani hasa chadema ni kupunguza matarajio mengi ambayo mwisho wa siku ikiwa ndivyo sivyo mtabaki kusonya tu. Kwa sababu hao ni mashahidi wa Lissu na sio mashahidi wa jamhuri lakini hao hao ndo wanaoshitaki hivyo shahidi si anaongea anachojua...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Athari za kutoa masega kwenye gari (catalytic converter)

    Ukipata nistue mkuu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu wa kike anataka nimuoe, je tutakua tumefanya maamuzi sahihi?

    Kwani ukiitwa hivyo Kuna sehemu yoyote ya mwili unameguka?Njoo pwani uone watu wanavyoishi pengine unaweza ukabadili msimamo wako na kuwaona wanawake nao pia wanahaki ya kuishi sio kidogo tu unampa kipondo hadi kumchinja kisa eti kakuita mkundu.Hilo neno huku Tanga ni kama salamu tu Na hiyo pia...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu wa kike anataka nimuoe, je tutakua tumefanya maamuzi sahihi?

    Mimi kwa nionavyo kwa upande mmoja ni sahihi kumuoa kwakua ndo mwanamke pekee umeweza kudumu nae kwenye urafiki kwa muda wote huo na hamjawahi kugombana hivyo DNA zenu za maisha zinaweza zikaendana. Mbili ni kua kila mmoja anajua madhaifu ya mwenzie hivyo itakua rahisi kuvumiliana pale...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Binti Ana Ujauzito wa Miezi 3, Sasa Wazazi Wake Wanataka Nikae Naye—Lakini Bado Sijajipanga

    We fala kweli yaani laki 6 ndo unasema bado hujajipanga wakati mimi mwaka 2021 nilimchukua Binti nikaishi nae baada ya kumpa ujauzito na kamshahara ka 170,000? Chukua uishi nae mlee hiyo mimba kwa upendo wote ili mtoto atakaezaliwa afaidi matunda ya kua na baba na mama.Sio makosa yake mtoto...
Back
Top Bottom