Recent content by monjina

  1. M

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Huduma zenu ni hafifu, hamuwajali wateja wenu!! Wateja ni wengi wahudumu wachache na wengi wao hawajitumi wanafanya kazi kusubiri muda tu, jaribuni kuwaelimisha kuwa wateja wanapokuja bank huwa wanaacha shughuli nyingine Ili wajali muda WA wateja
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Lowassa abomoa hadhi ya CHADEMA

    Makolokolo!! Na siye tumehamia cdm KWA ajili ya lowasa! Kwakuwa lowasa ana kipaumbele cha elimu basi mkipata elimu mtajijua na mtaelewa kwanini tunadai mabadiliko!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hali mbaya CCM, wamwomba Msuya, Salmin, na Mwandosya kuokoa jahazi

    Kama mmewaazima hao, waazimeni na kura ili wapate ushindi kwani shida iko wapi wakishinda ccm B!? Jamani mpeni Edo ushindi tuone mabadiliko!! KWA. Zaidi ya miaka 50 tumedanganywa kwani miaka 5 in mingi!? Edo get prepared the house is waiting for you!? Serious!!!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wanaofikiria Lowassa ataingia ikulu wanaumwa

    Asipoingia mwaka huu na uchaguzi Tanzania utakuwa hauna maana!! Kwani watu wote wanajua lowasa ndiye rais hata magufuli anajua!! Lakini tarehe na ifike tuwathibitishie!! Ccm wenzangu tushikamane KWA ukweli kuwa magufuli peke yake hawezi kuibadili system iliyozoeleka ndani ya ccm , wala huyo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mpasuko mkubwa mwingine waja UKAWA/ CHADEMA

    Kumbe humjui slaa, slaa anapenda kuwa mpinzani!! Kaona chadema inakaribia kuc hukua dola that's why kakimbilia ccm kwakuwa anajua ndo itakuwa kambi rasmi ya upinzani bungeni!!!!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa anaonekana kuongoza kwenye media..... tuthibitishe hili kwa kupiga kura

    Ccm bye bye,!;; c u next election!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe umemuelewa vibaya David Kafulila, alimaanisha hivi

    Kawaambia ukweli hajawatukana! Hakuma chama cha mkoa labda chama cha ushirika ila sio chama cha siasa! Acheni upptoshaji! Keep it on Kafulila educate them!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mji Wa Mpanda wazizima, Lowassa asimamisha shuguli za mji wote

    Hayo ni yako, ukawa hatudanganyiki!! Mwendo ni ulele mpaka kieleweke wasiotaka mabadiliko wameridhika na hali walizonazo na wapo wachache sana!!! Majibu Oct 25 :2015
  9. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa kapita dirishani kwangu

    Mkapa ndo anafiri kuwa kura zinapatikana KWA matusi kejeli na vitisho!! Hakuna nchi isiyotambua mchango WA ccm ya mwlimu ktk ukombozi WA afrika na uonevu WA ccm baada ya mwalimu, KWA kura zetu tutamwonesha ulofa wetu, lnshaallah mwenyeenzi Mungu atakuwa upande WA "malofa"
  10. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa kapita dirishani kwangu

    Alikuwa ccm ndugu!!! Kule wanawaita wananchi "malofa'"
Back
Top Bottom