Sioni haja ya kuingia katika shirikisho bila utafiti wa kutosha, waacheni wakurupuke watasambaratika muda si mrefu maana hawajui watendalo wanachukulia vitu kirahisirahisi tu.
Kumlaumu Nyerere ni sawa na uendawazimu, nani kama nyerere? tembea duniani kote nyerere anasifiwa na kuheshimika mpaka sasa japokuwa ameshakufa muda mrefu. Nyerere ameshakufa lakini mpaka leo kivuli chake kipo Tanzania na duniani kote, Nyerere ni SI UNIT ya Tanzania, utake usitake huo ndio...
Ni upumbavu wao tu achana nao, kwani lile ziwa kuitwa tanganyika ndio letu lote? hapana, hivyo wanajisumbua tu na wataendelea kuota ndoto ya kumiliki ziwa lote milele daima ila hawatathubutu kuja upande wetu.
Kazi hii ya kupambana na madawa ya kulevya kiukweli na wazi ilitakiwa ifanywe na nchimbi kama waziri wa mambo ya ndani LAKINI DUU anasubiri mpaka rais amuambie ndo atende kama alivyoelezwa na rais kuwatimua wahamiaji haramu. Hivi huyu nchimbi akiwa kama waziri wa mambo ya ndani anasubiri mpaka...
Tulielezwa kwamba mkongo wa taifa ungeshusha gharama za internet ili kila mwananchi amudu na pia ingerahisisha usomaji vyuoni na shuleni lakini kinyume chake gharama za internet ndo zinazidi kupanda, hatuoni manufaa yake.
Sawa, sio sawa kwa kias fulani kubeza juhudi alizofanya mwakyembe ILA hao aliowataja ni DAGAA tu, tunahitaji MAPAPA au NYANGUMI wakamatwe na kuchukuliwa hatua za kinidhamu la sivyo tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu tu.
Sawa, si sawa kubeza juhudi alizozionyesha mwakyembe ILA ni ukweli uliowazi kwamba hao aliowataja mwakyembe ni DAGAA TU, tunahitaji PAPA wakamatwe na kuchukuliwa hatua za kisheria la sivyo tunatwanga maji kwenye kinu tu.
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu. Kwanza hapo alipo hospitali anastahili awe amefungwa pingu kwa kuwa alikuwa anatafutwa kwa makosa ya kijinai, na ajue mshahara wa chuki anazoeneza ndiyo hiyo ya kujeruhiwa, yeye si anataka machafuko? basi na ameonja rasha rasha ya machafuko, mvua yenyewe...
Mi nashangaa sana, kama kweli alikuwa anatafutwa mbona hana pingu mikononi hapo hospital? mseme msemavyo huyu jamaa hafai kabisa, na inabidi sasa arudishwe ndani kifungoni kwa kuwa amevunja masharti ya kifungo cha nje. Waswahili husema "mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu" hayo aliyopata ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.