Wakuu, habari ya majukumu.
Kufuatia hii post, naombeni mnitumie contacts za Shilole niweze kuongea nae kuhusu tumbo. Kuna kirutubisho (Food Supplement) kinajulikana kama SHAKE OFF PHYTO FIBER, kinaondoa tatizo la tumbo/ kitambi bila madhara yoyote. Hebu nitumieni contacts zake tumsaidie huyu...