Ni kweli Mkuu Ndachuwa, mi nilisikia NAO kwa Utoh ndo waloingia mkataba na International organisation, sio COASCO. Mkuu steveachi, tunaomba ufafanuzi kidogo mkuu. Ubarikiwe.
Mkuu steveachi, asante kwa info. lakini mi nilisikia NAO (National Audit Office) kwa Utoh ndio walioingia mkataba na international organization, kumbe ni COASCO? Duh. kazi ipo. Ubarikiwe.
Mkuu Mwana mnyonge,majina wametoa kwenye website ya sekretariat ya ajira www.ajira.go.tz under heading TANGAZO LA USAILI -27 JULY, 2012. (Call for Interview). Changamkia.
Yaani, we acha tu. Ndo maana najaribu kufahamu malipo yao ili niweze kufanya maamuzi sahihi. Si ajabu wametuita wengi ili kutoa lawama ilhali wana watu wao wamewaandaa tayari. A'way, ndo maisha yenyewe Mkuu Qulfayaqul.
Mr Suggestion, asante kwa link yako. Ila, sio kwamba sifahamu wanapatikana wapi. Ninachomaanisha hapa ni utaratibu wa kazi zao na malipo yao yakoje ili niweze kufanya maaumuzi ya aidha kuattend usaili Dodoma au laa hivyo kupunguza ushindani kwa wengine. So, kama unafahamu utaribu wao wa malipo...
Wapendwa wanaJF,
Salamu.
Nimeitwa kwenye usaili COASCO wa Assistant Auditor. Ila kwa sasa ninafanya kazi sekta binafsi. Si ifahamu vizuri COASCO. Wakati naomba kazi nilikuwa sina kazi na ilikuwa mwezi wa tatu. So, kwa mdau yoyote anayefahamu COASCO ikiwemo malipo yao, naomba anijuze. Utakua...
Duh! Inaelekea wewe ni Mwajiriwa kindakindaki au cjui ni kutokana na kukaa nyumbani muda mrefu?!
Bandugu, tunahitaji kubadiri hali ya ajira ya sasa. Tufanye kazi kwa malengo, say, 5 years to 10 years then tujiajiri wenyewe na kuajiri wenzetu. INAWEZEKANA.
KILA LA KHERI NDECHUMIA.
ilianza hivi
Halafu ikafuata hivi
kwani aliyeomba ushauri ni nani kati ya Guantanamo Bay na Jestina? Mbona Guantanamo Bay umesepa, kulikoni? Au ndo ugeni wangu jamvini unanisumbua? Vibaya hivyo. Ushirikiano plz!
Mmh! kumbe ndo janja yao!! Mi napita tu lakini, nawahi ku-make money.
Far better is to dare mighty things, to win glorious triumphs, even though checkered by failure than to take ranks with those poor spirits who neither enjoy much nor suffer much because they live in the gray twilight of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.