Recent content by Monchengladbach

  1. Monchengladbach

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kipindupindu, Wananchi tusiilaumu Serikali

    Kanda ya ziwa zingatia usafi
  2. Monchengladbach

    JamiiForums Tanzania Dakika chache kabla ndege haijaanguka unadhani abiria huwa katika hali gani?

    Ina maana hapo rubani alikuwa akii contol ili irudi ktk situation yake au ilikuwa inamshinda?
  3. Monchengladbach

    JamiiForums Tanzania Hii ndio "top ten" ya makabila yaliyoshikilia uchumi wa Tanzania

    Ukiachia tpa, deputy dg wa Tra ni mwanamama somebody tarimo au Lema bila kukosea
  4. Monchengladbach

    JamiiForums Tanzania Hii ndio "top ten" ya makabila yaliyoshikilia uchumi wa Tanzania

    Hauna uwezo wa kununua ardhi moshi,ardhi ya kule Ina thamami haswaaa,hata milion kumi Kijijin hupati kiwanja
  5. Monchengladbach

    JamiiForums Tanzania Hii ndio "top ten" ya makabila yaliyoshikilia uchumi wa Tanzania

    Hahaha umepigilia msumari wa moto
  6. Monchengladbach

    JamiiForums Tanzania Hii ndio "top ten" ya makabila yaliyoshikilia uchumi wa Tanzania

    Hakuna wa ku compete kibiashara na mchaga ukitoa wahindi Hao waha na wakinga Ni primitive tu,wakinga wote na waha wote hela zao hazifikii hata robô ya hela za bilionea mmoja tu wa UCHAGANI
  7. Monchengladbach

    JamiiForums Tanzania Hii ndio "top ten" ya makabila yaliyoshikilia uchumi wa Tanzania

    Weee wakinga wapo ktk primitive stage huko sisi tulitoka miaka 20 iliyopita
  8. Monchengladbach

    JamiiForums Tanzania Hii ndio "top ten" ya makabila yaliyoshikilia uchumi wa Tanzania

    Hahaha umemjibu vizuri sana huyo mjinga nadhani amekipata chá moto
  9. Monchengladbach

    JamiiForums Tanzania Hii ndio "top ten" ya makabila yaliyoshikilia uchumi wa Tanzania

    Umaskini wako umekuathiri Hadi ubongo,ona unavyoongea utumbo kwahyo wez nchi hii Ni wachaga TU? Huko bot ,tra nk wanaajiriwaga vilaza kama ww waliokimbia umande? Ndio hivyo walitamgulia kusoma wala hawajawekwa pembeni wapo Tena Sana tu
  10. Monchengladbach

    JamiiForums Tanzania Hii ndio "top ten" ya makabila yaliyoshikilia uchumi wa Tanzania

    Hiyo miaka 30 wengine watakuwa wamelala?
  11. Monchengladbach

    JamiiForums Tanzania Kenya yatangaza kutopokea mahindi Tanzania na Uganda

    Yapoje kwani mkuu hayo mahindi? Tudadavulie
  12. Monchengladbach

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Ngorika ilikumbwa na nini?

    Osaka Ni mtoto wa ngorika? Sidhani
  13. Monchengladbach

    JamiiForums Tanzania Hii ndio "top ten" ya makabila yaliyoshikilia uchumi wa Tanzania

    Waha vibiashara vyao ni vidogo vidgo vingi mfano machinga wa kuuza saa
  14. Monchengladbach

    JamiiForums Tanzania Viongozi wangu wa Kanisa Katoliki shida nini?

    Ww una iq ndogo mno Kwan serikali ilivyo na pesa inazitoa wapi! Si ni ktk sources? Thé same kwa kanisa hizo ndio sources zake simple and clear
Back
Top Bottom