Hii ndio "top ten" ya makabila yaliyoshikilia uchumi wa Tanzania

Umasikini si suala la kabila ni la mtu.

Kila kabila ulilolitaja lina masikini wa kutupa ndani yake na kuna makabila mengi umeyaacha yana matajiri na watu wanaojiweza.
 
Yapange pia kwa kutumia ujasiri wake katika vita. Lipi kati ya haya huwa linasikitika sana likiambiwa kuwa kuna vita, halafu kwa bahati mbaya vita hiyo ikawa kumbe haipo?
 
Wajita na wajaluo kisha wakinga na wabena. Tafsiri yake wamegongana namba moja?
Mbena naye kashikilia uchumi wa nchi?
Mjaluo naye kashikilia uchumi wa nchi?
You can't be serious. Labda kama umeandika kwa kujifurahisha. Otherwise rudi tena kwenye field uje na ripoti mpya.
 
Kabila langu hapo lipo lina nina uhakika ambao hawajatajwa hapo wengine maisha yao ni mazuri maradufu kuliko yangu mimi niliyetajwa! Hapo ndipo unapaswa kujiuliza, kama na mwenzangu kabila lako lipo hapo juu, sasa je wewe mwenyewe binafsi, au angalau wazazi wako, uchumi wenu unaakisi na ulichokiandika?!
Mtoa mada hajaangalia mtu mmoja mmoja ndio maana wewe kabila lako limekubeba
 
Back
Top Bottom