huyo bibi hana lolote kama hata ulinzi wake tuu ni wasiwasi sasa si aache kuisumbua serikari awatengenezee wana mtwara gesi yaoo? na mitambo kila kitu afu aigeuze mtwara kuwa PARIS
chamsingi mie ninacho ona zitto kabwe kuandamwa kwake kuna sababu maalum nyuma ya pazia hii kitu sio bure kutajua kuna watu either ndani au nje ya chma wanao dhamini mpambano na zitto anaonekana kua mwiba sababu ni mtu asie pelekwapelekwa tuu na kiongozi au chama chochote na hii ndio inamfanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.