Recent content by MOMPRENEUR

  1. MOMPRENEUR

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo ruvuma nije ukerewe
  2. MOMPRENEUR

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo ruvuma nije kanda ya ziwa....elimu sekondari...masomo kemia na bios
  3. MOMPRENEUR

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuzuia Mahindi yasioze!

    Ukienda duka la pembejeo ukiwauliza tu unavipata....viko poa
  4. MOMPRENEUR

    JamiiForums Tanzania Shida katika Email

    Nimefanya hivi lakini bado shida iko vile vile
  5. MOMPRENEUR

    JamiiForums Tanzania Shida katika Email

    Ok
  6. MOMPRENEUR

    JamiiForums Tanzania Shida katika Email

    Habari wakuu! Email yangu imekuwa haifunguki inaishia kuload tu sijajua shida nin na naimaliza vipi. Msaada
  7. MOMPRENEUR

    JamiiForums Tanzania Flash kusoma kwenye simu

    Unaiformat vipi mkuu??
  8. MOMPRENEUR

    JamiiForums Tanzania Flash kusoma kwenye simu

    Ok
  9. MOMPRENEUR

    JamiiForums Tanzania Flash kusoma kwenye simu

    Ok mkuu
  10. MOMPRENEUR

    JamiiForums Tanzania Flash kusoma kwenye simu

    Habari wakuu!!Nina flash ile yenye pande mbili yaani unaweza weka katika simu au hata pc...sasa nikiichomeka katika pc inasoma vizuri ila katika simu haisomi...msaada wa hili plz
  11. MOMPRENEUR

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya perfume zenye harufu nzuri sana tuwasiliane

    Sana...karibu mkuu tuwasiliane no.0627169773
  12. MOMPRENEUR

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya perfume zenye harufu nzuri sana tuwasiliane

    Tumia namba 0627169773
  13. MOMPRENEUR

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya perfume zenye harufu nzuri sana tuwasiliane

    Kwa mahitaji ya perfume hizi zenye harufu nzuri sana tuwasiliane no. 0653405342....Bei nauza tsh.7500 Kuna Maryam perfume, salaam perfume, Al rehan perfume, Dirham perfume n.k Napatikana mbande Dar
  14. MOMPRENEUR

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Aliexpress

    Ipi ina unafuu wa gharama za kusafirisha?
Back
Top Bottom