Recent content by mombasaone

  1. mombasaone

    JamiiForums Tanzania Maswali tata kuhusu utekwaji na upatikanaji wa Mohamed Dewji MO

    Nafananisha na kisa cha Makonda aka BASHITE kuvamia Clouds TV siku iliofuta mkuu wa Nchi akamwambia piga kazi na Mo alioooatikana nae mkuu wa kanda maalumu akamwambia piga kazi hapa kuna usanii ulifanyika waliomteka wanajulikana na serikali inawajua na nimipango ilifanywa na wakubwa. Kama kweli...
  2. mombasaone

    JamiiForums Tanzania Maswali magumu 35 kupatikana kwa Mo Dewji, January Makamba atajwa

    Mmh hapa kuna kitu
  3. mombasaone

    JamiiForums Tanzania Maswali tata kuhusu utekwaji na upatikanaji wa Mohamed Dewji MO

    Dill done apige makelele ya nini nae ashachukua 1b yake halafu mkuu wa jeshi sirro anajidhalilisha maelezo ya awali alisema wazungu sasa wamekuwa wanaongea kilugha inamaana mo hakuwaona hata mara moja waliomteka hapa Kuna kitu kinafichwa washampiga pesa muhindi wa watu na kwanini familia...
  4. mombasaone

    JamiiForums Tanzania Maswali tata kuhusu utekwaji na upatikanaji wa Mohamed Dewji MO

    Maana hili dili inaoneka kama BASHITE anafidia pesa alizopoteza kwenye mankotena yake kwani ingekuwa wakati wa mwalimu kiongozi kukutwa na container 20 halafu serikali imekaa kimya naona hata bwana mkubwa anajua haya mambo walimchukua ili wapate hizo pesa pia inaonekana familia yake wametoa hizo...
  5. mombasaone

    JamiiForums Tanzania Maswali tata kuhusu utekwaji na upatikanaji wa Mohamed Dewji MO

    Serikali wanajichanganya sana inawezekana BASHITE ashachukua hizo billioni moja kimya kimya maana yasemwayo yapo
  6. mombasaone

    JamiiForums Tanzania Arsenal na Manchester City vyawa vilabu tajiri duniani

    Mtandao wakichina angalia fobes
  7. mombasaone

    JamiiForums Tanzania Arsenal na Manchester City vyawa vilabu tajiri duniani

    Mtandao was kichina huo angalia fobes
  8. mombasaone

    JamiiForums Tanzania Hapa kwa 99% Magufuli amechemka

    Hakuna rais happo ni kichefu kichefu tu
  9. mombasaone

    JamiiForums Tanzania Muuza madawa maarufu, Halili akamatwa akipokea 'mzigo'

    Kaka yao mkubwa anaitwa hadari yupo dodoma pale airport karibu na msikiti WA Gaddafi yeye ndio supplier mkubwa pia Gari za nyingi za wizi zipo dodoma eneo LA Ilazo kwenye nyumba yao ukifika Utajua ni nyumba ya watu WA ngada mageti mawilimawili
  10. mombasaone

    JamiiForums Tanzania Muuza madawa maarufu, Halili akamatwa akipokea 'mzigo'

    Wapo wengi dodoma na mtandao wao upo airport dodoma na uhindini Wapo ndugu wawili Musa na Hamza ati Hamza anauza viungo vya pilau ananyumba karibu 10 dodoma kazi wanayo mwaka huu hawa wanauhusiano WA karibu na kina hariri
  11. mombasaone

    JamiiForums Tanzania Mwantumu Mahiza alistahili kuteuliwa Mkuu wa Mkoa

    Hii ni dua za watu WA kigombe baada ya kukamata mashua Tatu zenye sukari na Michele na kumwaga baharini baharini nafikiri maombi yao Mungu kayapokea
  12. mombasaone

    JamiiForums Tanzania Mgogoro Zanzibar unachelewesha kutangazwa kwa Baraza la Mawaziri

    Kusuasuakwa Rais John Magufuli, kutangaza Baraza la Mawaziri kunatokana na msimamo wake wa kuwachambua watu anaotarajia kuteua katika nafasi hiyo huku akiaandaa mikataba ya makubaliano itakayokuwa mwongozo kwa mawaziri hao.Nia ya Rais, hadi kufikia hatua hiyo imetafsiriwa kwamba anataka kupata...
  13. mombasaone

    JamiiForums Tanzania William Lukuvi kumrithi Mizengo Pinda

    ubunge wenyewe b ado ataangukia pua safari hii
  14. mombasaone

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa kura za maoni CCM, wabunge na madiwani kesho tarehe 1/8/2015 ndio mwisho wa CCM

    Wakati chama tawala kesho kikifanya uchaguzi wa kuwachagua wawakilishi wao kesho ndio mwanzo wa mgawanyiko mkubwa utakapotokea ndani ya chama tawala kwa wale watakaoshindwa kwa hila, pia kuna mpango kabambe umewekwa kuhakikisha wale wote waliokuwa nyuma ya aliyekuwa kada wa chama cha mapinduzi...
Back
Top Bottom