Recent content by Mom

  1. Mom

    Hii biashara imenichanganya

    Wiseboy, hiyo laki tatu nusu waweza kuipata kila 2 weeks kama utaweza kuweka mzunguko mzuri wa ufugaji. mfano wako hapo juu kuku 1000 nitapata faida katika ya laki8-1m nikifuata kanuni bora za ufugaji. hapo bado kuna vi faida vidogo kama kuuza mbolea.
  2. Mom

    Hii biashara imenichanganya

    niko mkoani huku hiyo ndiyo bei general na kuku tunauza between 5-6 weeks. kwa Dar nimeona bei ni 5000 kutokana na kuwa mnawauza at 4-5weeks so hata chakula hakitumiki kingi kama anayefuga mikoani.
  3. Mom

    Hii biashara imenichanganya

    Nafikiri pia mchanganuo wako hauko sawa kwanini uwauze at 8 weeks? sijafanikiwakufuga wengi hivyo ila nami nawafuga. 400 wanakula mifuko 24 mpaka nimalize kuuza. Bei ya kununua ni 400*1400 = 560,000 chakula 24*50,000= 1,200,000. matumizi mengine maji umeme kijana dawa( glucose+ booster) total...
  4. Mom

    Nyumba inauzwa, mil 95

    Nyumba ina3bedrooms Kimoja ni master bedroom, living room, dining, jiko na store. Ipo uru west, 3 kilomita kutoka Moshi mjin
  5. Mom

    Ushauri wa gari Nissan Wingroad

    Habari wanajf, ninaomba ushauri wenu kuhusu gari hii, nimeipenda lakini ningependa kujua ubora, utumiaji mafuta na upatikanaji wa spare kwa gari hii. Naomba mwenye uzoefu nayo atoe ushauri.
  6. Mom

    Watoto wenu wote wanapitia hatua hii?

    ni kipindi tu kinapita, atacha mwenyewe huna haja ya kumwadhibu mtoto anajifunza.
  7. Mom

    Mbegu za maboga: Zina uwezo wa kukuepusha na magonjwa 10 hatari

    Mnanitisha na wanangu hawa ambao bado wachanga, natamani hata wawe na akili niliyokuwa nayo mama yao!
  8. Mom

    Kitchen Tips

    JF ni shule nimependa hizi kitchen tips!
  9. Mom

    Tanzia: Mwanajamvi afariki Dunia.

    RIP wasaimon! poleni wanafamilia Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu
  10. Mom

    Ana mtoto wa miezi mitatu, pia anaujauzito wa wiki tatu

    wakwangu wamepishana hivyo sikupanga but niliamua kubeba msalaba wangu, clinic nilishauriwa niendelee kum,nyonyesha mdogo lakini kama ataonyesha kuharisha nimwachishe. bahati nzuri haikumuathiri, nilihakikisha yule mkubwa anapata lishe kamili na kwakweli both wamekua vizuri they are my big girls...
  11. Mom

    Shukrani kwa wana JF

    Pole sana Ennie Mungu akutie nguvu
  12. Mom

    Mjadala wa Ushauri na tiba ya maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi (dysmenorrhea)

    Habari wanaJF, ninaomba msaada wenu. Mimi ni mwanamke aged 37, kawaida katika mzunguko wangu wa hedhi huwa napatwa na maumivu makali sana hasa day1 na 2. sasa naona tatizo limeongezeka maana ikishapita wiki moja baada ya hedhi ninapatwa na maumivu makali sana ambayo yanaweza kudumu kwa siku...
  13. Mom

    Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

    Wengine sio chemicals my dear ni maumbile tu. nina stretch marks since 12yrs wakati huo sijui hata mafuta mengine zaidi ya vaseline. nimezizoea sasa kama part ya maisha mwili wangu ambayo siwezi change!
  14. Mom

    Nimepoteza mama yangu kipenzi usiku wa leo

    Pole sana Pdidy, Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu, May your Mama RIP!
  15. Mom

    Pumzika kwa amani mwanangu

    Pole sana Michael, Mungu awatie nguvu.
Back
Top Bottom