Recent content by mokant

  1. M

    Hivi Waganda wana matatizo gani na Kiswahili

    unajua waganda ni watu wa majivuno sana sasa ona kiingereza chenyewe wanachoongea kwa hakika hawana lafudhi sahihi yaani wanaboa kishenzi
  2. M

    Maua kupandwa barabarani

    sikiliza mkubwa moja kati ya vivutio vikubwa vya sehemu husika ni pamoja na mandhari iliyopo uwekwaji wa maua huko arusha ni moja kati ya mipango ya kupendezesha mji huo hususani ukiwa ni financial center inayokuwa kwa haraka hivyo basi maua ni bora ya wepo na magari si lazima mkubwa!!!
  3. M

    Kwa nini-SIASA?

    jamani hebu angalieni kwamba hata elimu yetu nayo inaendeshwa kisiasa zaidi , eti kuanzia darasa la kwanza hadi la saba mwanafunzi husomeshwa kwa kiswahili alafu sekondari kwa kiingereza. Hii inachangia watu wa nchii hii kutopata elimu inayofaa na hivyo wengi wao huona siasa ndio kimbilio kwani...
  4. M

    Kisa cha Rais Ali Hassan Mwinyi kipigwa kibao akihutubia

    listen my friends, unajua tatizo waislam wa leo wanalazimisha hali ibaki kama karne ile uislam ulipokuwa ukiingia hali ya kuwa teknolojia imekua kwa kiasi kikubwa sana. Hii inasababisha hata vipengele fulani katika dini kubadilika kiutendaji mfano; 1.mwanzo wito wa swala ulifanya kwa kutumia...
Back
Top Bottom