Mimi nimemsamehe lakin kila kitu kimebadilika kwangu siko tena kma wa zaman nipo nipo tu namwangalia tu aikitoka siuliz akirudi siuliz
Akila siuliz akilala njaa siuliz akiumwa siuliz yan kila kitu nimebadilika anabaki anielewi
Na nilimsamehe kwa kuwa mimi mwenyewe ni mshenzi so safi tu
Njooo mafiga mkuu na ukija chunguza bas kabla ya kupanda utakuta bas linawatu ndani kma abiria kumbe sio abiria!! wale wanaitwa BOSHEN [wengi wao ni wadada]
Kaka sio tabia!! Yan mtu akikutamkia neno kwa hasira au kalewa au kwa furaha basi jua hilo neno limetoka kwenye moyo wake yan kwamna hilo neno analo kila siku
Yalinikuta kma hayo lakin mi nilikomaa nao mwanzo mwisho wakiloga ucku mi naloga mchana
Mpka kikaeleweka nou tunaheshimiana kwa salam za kinafki kudadadeki
Oya MA MTU KOMAA HAPO
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.