Recent content by Mohammed wa 5

  1. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Hekima huanza pale Ego inapoishia

    Hii kitu uliyoandika hapo juu nilijifunza kitambo kama miaka mitano nyuma imenisaidia sana na nimebadilika nimekuwa mpya
  2. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania FT: Premier League: Hull City 2-0 Man United. Unamuonaje Kocha Carrick?

    Nyumbu kama nyumbu kwenye ubora wake dirisha la usajili bado liko wazi waiingie sokoni mapema
  3. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Man utd ni takataka na msimu huu watapoteza point nyingi epl na uefa ajiaandae sana atapigwa tano
  4. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Dar yaongoza matumizi ya vipimo vya kujipima VVU. Dar, Mbeya na Pwani nazo ziko kwenye orodha

    Watu wasijipime mkuu na yote haya kayasababisha dotto magari
  5. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Uzi kwa ajili ya waraibu wa kamari, mikeka na kubeti wanaohitaji kuacha na kuepukana na uraibu huu

    Kila mtu na starehe yake Mbona nyie mnapovaa kondomu huko hatusemi Kila kitu duniani ni uraibu ata kula sana ni uraibu.. Ushauri kabla ya kufanya kitu fikiria hasara zake na faida zake Beti kistarabu Betting sio kwa watu masikini Unacholiwa hakikisha ni faida sio mtaji
  6. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Vijana mkipata nafasi ya kuji attach kwenye royal family, Usirudi nyuma

    Sema nini wazee wanaume wengi wa kiafrika tuna mfumo dume kutokana na maisha yetu kwenye familia tulizotoka. Ila mleta mada yupo sahihi ukipata hizi familia zakishua usirud nyuma jump in haraka sana. Kuna mwanangu yupo saizi anazunguka nchi kibao wakatu tulikuwa level moja ila sahizi kanipita...
  7. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Unakuta mtu ana roho mbaya na tabia za hovyo afu anajifanya mtu dini

    Mtu wa dini anakuwaje? Kwenda kila siku kanisani na msikitini ndo unakuwa mtu wa dini
  8. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Ulifanya kosa gani shuleni ukawekwa mtu kati na Walimu?

    Nilikuwa 800k ya ada kipindi icho ada inapelekwa kwa muhasibu wa shule Nikapewa adhabu yakufukia mashino almost 2 month nilikuwa siingii darasani ni mwendo kazi tu napumzika wakati wa mapumziko tu na classmate wangu wanakuja kunipa support kidogo Nakumbuka kidemu changu cha shule cha shule...
  9. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Ayatollah is back!!!

    We ni nani kwanza
  10. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya 7/7: Nani anaenda kuandamana (?)

    mimi,wewe na yule
  11. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Hisia za jamii kuelekea 7/7: Je maandamano yapo au hayapo?

    Sisi watanganyika ni wanafiki sana
  12. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi naye hana huruma na uhai wa Watanzania

    Tanzania hakuna haki
  13. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwenyekiti UVCCM Dar: Maandamano yana misingi yake. Haya tunayoyaona yakipangwa mitandaoni hayana uhalisia wa madai ya msingi

    Ukiwepo CCM na akili yako inapotea automatic Baba na mama yangu wamemipigia kura samia nao pia hawana akili
  14. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Waliotangazwa washindi kwenye kilichoitwa uchunguzi mkuu wa 2025, naona ni watu wasio na furaha na wanajihisi kukosa political legitimacy

    Baba levo kiherehere wamuweka pale maksudi ili atumike kwenye mambo yao
Back
Top Bottom