Recent content by Mohammed Hamad

  1. Mohammed Hamad

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Tatizo la mtimu wenu unataka mafanikio ya fasta wanatakiwa wawe na road map kuelekea mafanikio wapitie transition period watafutefuture potential players from academy na wachezaji wasio na majina then after 3 years mtakuwa mnaongea lugha nyingine kabisa [emoji848]
  2. Mohammed Hamad

    Nimerudi baada ya kitambo kidogo

    Take me around maana it’s like I am new here aisee nionyeshe pisi zote kali [emoji16]
  3. Mohammed Hamad

    Nimerudi baada ya kitambo kidogo

    Na Maria Roza [emoji16]
  4. Mohammed Hamad

    Nimerudi baada ya kitambo kidogo

    Au ndio wewe nini mbona umejua mambo ya ID mpya?[emoji16]
  5. Mohammed Hamad

    Nimerudi baada ya kitambo kidogo

    Shukran sana Maalim [emoji847]
  6. Mohammed Hamad

    Nimerudi baada ya kitambo kidogo

    Asante sana Mgugu hivi Mzizi Mkavu yupo? [emoji16]
  7. Mohammed Hamad

    Nimerudi baada ya kitambo kidogo

    Asalam alaikum mabibi na mabwana baada ya muda mrefu nimerudi JF kwa wale tuliokuwa tumeconnect nitafurahi kusikia kutoka kwenu. Shukran kwa wote 🙏🏽
  8. Mohammed Hamad

    Kwa ujenzi huu wa Uwanja wa ndege Chato, Rais Magufuli anatukatisha tamaa "watu wake"

    Mleta mada umemuonea sana Big Ben yaani kama kuna Rais ambae hakufanya kitu kwao basi ni Benjamin William lile daraja lilianza wakati wa mzee Mwinyi kwa msaada wa nchi ya Kuwait kama sijakosea upembuzi yakinifu na michoro ilikuwa tayari hata kabla haijajulikana Mkapa atakuwa Rais alipo ingia...
  9. Mohammed Hamad

    Polisi yatoa tamko juu ya miili saba ya Ruvu na kupotea kwa Ben Saanane

    Rafiki yangu apotee zaidi ya mwezi ninyamaze? I can't buy this.
  10. Mohammed Hamad

    Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

    Harufu ya gari la taka au panya alie oza
  11. Mohammed Hamad

    Ufafanuzi juu ya shitaka namba 3 la kutokutumia .tz

    Kuna Waziri mmoja mkubwa tu na yeye ana mtandao wa .com
  12. Mohammed Hamad

    Matumizi ya Shisha Dar: RC Makonda aumbuliwa na Waziri Mkuu mbele ya Kamanda Sirro

    Kuna maneno mengine yanafanana na ukweli na mengine hufanana na uongo tukiwa na fikra huru hivi biashara unayo weza kuwalipa wafanyakazi ukalipia kodi ya eneo la biashara na gharama nyinginezo za uendeshaji kisha ukatoa na rushwa ya 5 mil! Shisha wanavutisha shilingi 10,000/- ukiwekewa mtungi...
  13. Mohammed Hamad

    Maoni yangu kuhusu 'Maoni ya Dr. Slaa' juu ya pesa za wahanga wa tetemeko Bukoba

    Mchango wa Serikali ni allocation of funds.
Back
Top Bottom