Af pita kila sehem bendera znapepea. Mataa ya kuangaza barabaran usku yanagongwa na magar na kuanguka,fine znalipwa but zinaish, but no maintenance now mataa yamebaki ya kuhesabu tu
Hapa iringa mjin , wapungufu wa akili na walemavu wameongezeka, pia shughuli ya kuokota makopo imekua kwa Kasi...Kuna baadh ya watu wanaokota makopo as a family work...yaan wanatawanyika watoto , wanaokota makopo af wanatia kwenye kiroba kimoja
Fara Sana huyu...huwa tunapasha uwanja wa mkwawa jion...huwez Amin watu Zaid ya arobaini huwa tuna mpisha mtu mmoja acheze gofu...vijana wa mpira tnamchukia San huy
Whatever... production cost Ni juu...mwenye hofu na njaa aingie shamba, sio tushibe kwa gharama ya mkulima..nazan hii ya mafuta ya kula imekaa unyama ,inatakiwa kuwa hv kwenye ngano , na unga wa mahindi...ili wezi wachomwe , wahuni waridi shamba walime wapungue hapo mjini daslam ...TZ ina arable...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.