Watanzania bana waziri anatekeleza majukumu yake lkn kwa sababu tumezoea kubisha ndo maana wanasema ccm waziri anaongelea umeme ubishi kawaida ya wapinzani (ukawa)haoo
Wenye mamlaka chukueni hatua juu ya hawa mashetani mjue kwa nafasi zenu mtakuja kuhukumiwa na muumba lindeni maadili
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu hebu vyuo vikuu vifikirie kuwajali wanyonge wasitumie mwanya huo kama vile kuwakomoa wajue hivyo ni vyetu sote
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu wadau wa JF,
Nimekuwa najiuliza maswali mengi juu ya elimu inayotolewa hapa nchini, nchi nyingi zimefanikiwa kupata maendeleo kupitia elimu yenye mtaala bora wa elimu lakini kwa Tanzania kila Waziri wa Elimu ana mtaala hebu chukulia zama za Makweta, Maghembe, Malima, Ndugai...
kwanza niunge mkono maoni ya wenzangu lkn jingine ni kudhihirisha kuwa bila jamii kuandaliwa kiroho na kujitambua wao na kujua lengo la kuumbwa kwao kamwe tusitegmee kuwa shule na vyuo ni sehemu ya kuandaa jamii bora tazama wale wote eanaoitwa wasomi ndio hao wanaongoza kwa ujinga na ndio vinara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.