Recent content by Mohamed kibwambwa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jaman Msaada plz kama kuna anaefaham kam post za kilimo au mifugo zmeshaachiwa?

    Habari za asubuhi jf? Nawapenda sana kwani upendo ndo faraja pekee ktk maisha ya mwanadam. Jaman naomba mnijuze kama post za kilimo na mifugo kama zmetoka tafadhali jaman maana nmejaribu kuangalia kwenye link zao mambo hayajakaa vzuri.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hongereni finalists SUA kwa kumaliza chuo

    Jaman habari za asbuh,nawapenda sana ndgu zangu kwan upendo ndo faraja pekee ktk maisha ya mwanadam.Jaman naomba msaada hv vyuo vya kilmo na mifugo wamkwsha aachia post?Asubh njma.
  3. M

    JamiiForums Tanzania kukagua simu ya mpenzi wako ni vibaya

    Mhhh!Bi mkubwa umeni-bore kwhyo umeona ss vidume n watu wa kutungiwa umbea na kudanganywa kirahs c ndio,? .........Dah!Umenfanya njifunze k2 hapo.
  4. M

    JamiiForums Tanzania kukagua simu ya mpenzi wako ni vibaya

    Denying is an opportunite to defend urself.Jaman mi nakataa xio kla cm ina uchafu hyo yote yanatokna na tabia ya mtu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuvua pichu pasipo kupenda

    Huu ujnga yan kidume nmenoa meno alafu uniambie eti nyama imeoza huku ipo maeneo ya jikon utakua n wendawazmu kabisa mm ntakugegeda kwa kuchana chup kwa kukuvua vyote vitawekana upo dada,yan mjomba nchumali kajinyoosha aingie ndani unazingua hyo inaitwa haipogoooooooo!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mbona natongoza lakini sikubaliwi?

    Ckia kijna watoto wa kke n hatar xana hvyo bas uspokua makn watakuumiza kichwa cha mxing wengi wao n mshko kwanza hata kama utapata n kwa gharama ww unafkir unawza ukamudu kutoa 50,000/= ajli ya mtoto wa kke c utakua nawazmu wakti we mwenyewe labda unakula kwa mama.Becareful my dear this in ot...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mohamed kibwambwa

    Jamani!Mi mwenzenu nko mpweke npokeeni bas na me njue kwel nko nna ndugu hapa duniani!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada;Nataka kusomea Uafisa afya(health officer) na afisa tib(clinica officer)ipi bora zaidi?

    Sasa mkuu OLESAIDIMU Kwanza kabsa samahn kwa usumbufu mm mm pia nafikiria sana hzo koz if possible mkuu hzo chance umzpataje ni direct bas na mm hata kwa kunipa hata kamdokezo kidgo nn nifanye tafadhali!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Diploma na certficates afya sasa kuombwa kupitia CAS

    Jaman naomba msaada kwa anayefahamu web znazohusiana na application ya afya please!Maana huku nlpo hudma ya net inasumbua sana!So naomba msaada wenu please please.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayefahamu website ya Chuo chochote cha kilimo kilichopo Morogoro

    Jamani habari asubuhi wote?Ndugu zangu naomba kama kuna mtu anafahamu kuwa nafasi za kujiunga na chuo wizara ya kilimo na mifugo anijuze tafadhali sana nisaidieni kwa hlo jaman.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Habari iliyomo humu ni hatari kwa mbavu zako

    Kwann jaman 2nakatishana tamaa hvhv tuwe tunapeana moyo na cio kukatishana tamaa!!!!!!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Pita hapa ndugu kwa ufafanuzi zaid kuhusu ualimu

    Thnx alot wangu!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Pita hapa ndugu kwa ufafanuzi zaid kuhusu ualimu

    Kwhyo jamani inamaana kwa point zangu cwez kupta chochote kabisa hata kilimo na mifugo ciwez kwenda na vi D vyangu vya physics,chemistry na biology?Hyo point 28 kwa matokeo ya mwaka 2012 inamaana nd imetoka hivyo?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Pita hapa ndugu kwa ufafanuzi zaid kuhusu ualimu

    Kwhyo jamani inamaana kwa point zangu cwez kupta chochote kabisa hata kilimo na mifugo ciwez kwenda na vi D vyangu vya physics,chemistry na biology?Hyo point 28 kwa matokeo ya mwaka 2012 inamaana ndo imetoka hivyo?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Pita hapa ndugu kwa ufafanuzi zaid kuhusu ualimu

    Kwhyo jamani inamaana kwa point zangu cwez kupta chochote kabisa hata kilimo na mifugo ciwez kwenda na vi D vyangu vya physics,chemistry na biology?
Back
Top Bottom